Basi la Ngorika lagongwa; baadhi wajeruhiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Ngorika lagongwa; baadhi wajeruhiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mangimeli, Dec 23, 2011.

 1. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Wadau nimepata abari kuwa ngorika imepata ajali eneo la mbwewe mwenye abari zaid please
   
 2. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  Duh,ngorika ya saa 12asbh ile ya wafanyabiashara imechoka ila speed yake usipime,inagongwa hadi gia 12.lile lori ni balaa.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni ya saa ngapi maana iloondoka saa kumi na mbili iko salama.
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Limegongwa kwa nyuma na lori la Mufindi lililokuwa linataka ku-overtake na liliposhindwa kulikuwa na gari linakuja opposite yake likagonga bus kwa nyuma.

  Majeruhi hawajaumia sana
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Inkoskaz kwa taarifa.
   
 6. k

  keke Senior Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh pole sana kwa majeruhi...
   
 7. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  polen sana majeruh, naanza kuogopa manake mi nipo na hajees naenda moshi
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watu wa3 wamejeruhiwa na kutibiwa kwenye vituo vya afya vya jirani.Na hatma ya abiria tunasubiri bosi wa kampuni atoe basi jingine
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Usiogope MUNGU atawafikisha salama
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Poleni sana MUNGU awe pamoja nanyi
   
 11. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tuombeane manake naona km mguu wa kulia anautumia vibaya mashine inapigwa usiombe
   
Loading...