Maandamano ya Waislam kwishney, hapa kazi tu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya Waislam kwishney, hapa kazi tu....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hossam, Dec 23, 2011.

 1. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kova kasema nk marufuku kwa Waislamu kundamana leo, anayebisha ajaribu aone salam za chrismas kutoka FFU!

  Wakatki huohuo JK ametoa mbuzi na mchele kwa vituo vya watoto yatima ili na wao siku mojamoja walage wali na nyama.

  Nipo hapa Pemba ni muda mfupi tumempokea marehemu mhanga wa mafuriko Jangwani Dsm.
  Chadema na tamko lao sidhani kama kuna aliyehangaika kupoteza muda wake kulifanyia kazi ama hata kulijibu maana wanasema matamko yamekuwa mengi sana sasa.

  Mimi, Pangu Pakavu, ntatoa salam kali kabisa za mwaka jumatatu ijayo, na ntajikita katika kujadili tamko la Cdm na mafuriko.

  Nilidhani serikali ingeliwapa mbuzi na mchele wenzetu waliokumbwa na mkasa kumbe hola, nadhani sababu wanazijua 'kiherehere ch wakazi wa jangwani kukaa mitaroni badala ya huko Mbezi.

  Source, Channel Ten, saa saba mchanz leoleo.
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  watu tunasubiria sikukuu wao wanataka kuandamana,wapewe kazi ya kufanya iwakeep busy
   
 3. R

  Rutatinisibwa Senior Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nindenga watailemu akakonyagi! sasa tuchangie kipi? nadhani ungeconcentrate katika issue moja kutokana na heading yako ingekuwa vyema zaidi! otakutuletela tamilo aaha!
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye blu : Tbc itakua ni headline leo usiku

   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Ni TBC pekee nilipojifunza yafuatayo:
  1. Hata kama raisi anazidi kuboronga,kazi ya tbc ni kutafuta video za mikutano ya kampeni ya hapo kale wakati ambapo jamaa alikuwa kipenzi cha watu...

  2. Hata kama raisi ananyemelewa na mamba sentimeta chache kutoka aliposimama...tbc itaonyesha rasi ni rafiki wa mamba hivyo hakuna hatari yeyote kwake.

  3. Hata kama ulinzi wa raisi unazidi kuongezwa kila siku hadi kuomba msaada kutoka Islael ni tbc pekee inayojifanya kutoonyesha utitili wa mabodyguard..!

  4. Ni tbc pekee ambapo maswali ya chekechea huulizwa kwa watu wenye tuhuma nzito...eti mzee EL vipi msongamano wa magari huko Kigoma ?....brabra..! Pumb@(*v zenu mtafute Lu#@nJo mtwange maswali mazito...
   
Loading...