Wabongo tuna hatari ya kuwa "Potato Couches"!

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,801
7,578
Kuna tangazo la Star Times, kila lijapo linaniacha nikiwa na maswali mengi, mno, kwamba watoto hawataki kwenda beach, wala kufanya outiside activities, kwa kisingizio wana kila kitu, yaani decoder ya Star Times, yenye channels nyingi mno, cha kushangaza hata baba wa nyumba naye kwenye tangazo hilo naye alikataa kwenda na mama.
Sasa watanzania kama tutafika wakati sie ni kukaa kwenye makochi tu na kubadilisha channels tutakuwa tunakaribisha unene usio na afya kwa kutokua mazoezi na bila kusahau kuwafanya watoto kuwa kama kuku wa broilers!
Watoto na watu wazima tunahitaji ku socialize, kutoka kwenda beach, zoo's na kwenye michezo n.k. Na sio kukaa weekend nzima tunabadilisha channels.
Wadau mnaonaje hili swala?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom