JK unawakomoa Watanzania? Jamani uwe na huruma

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Mimi naona sijui kama anawakomoa, maana wananchi waliompigia kura wanalalamika sana.

Kwanza mwaka 2005 aliwaahidi maisha bora, lakini hawakuyapata.

Mwaka 2010 wakateleza tena wakampa- hapa ndo JK akawaacha kabisa na kufanya mambo ovyo kabisa. Ufisadi ukawa mchana kweupe.

Najua watu wengi hawakumpa kura JK, kwa sababu mwaka 2005 - 2010 alichosha watu sana, mfumuko wa bei na kushuka uchumi.

Sasa hali ni mbaya zaidi, sasa watu wanashangaa je JK anawakomoa Watanzania wote bila kujali kuwa alipewa kura na wachache?
 
Ni kweli usemavyo mkuu! mshkaji anatia hasara coz he knows next time he has got nothing to lose! nadhani ndani ya miaka 15 hii ndiyo inflation kali kupata tokea.
Je tutafika watazamiwa?
 
Mimi naona sijui kama anawakomoa, maana wananchi waliompigia kura wanalalamika sana.

Kwanza mwaka 2005 aliwaahidi maisha bora, lakini hawakuyapata.

Mwaka 2010 wakateleza tena wakampa- hapa ndo JK akawaacha kabisa na kufanya mambo ovyo kabisa. Ufisadi ukawa mchana kweupe.

Najua watu wengi hawakumpa kura JK, kwa sababu mwaka 2005 - 2010 alichosha watu sana, mfumuko wa bei na kushuka uchumi.

Sasa hali ni mbaya zaidi, sasa watu wanashangaa je JK anawakomoa Watanzania wote bila kujali kuwa alipewa kura na wachache?

Yaani ndio unashangaa???
Kwani ulikua hujui kama jamaa ndivyo alivyo??
Kwa tunaomjua tushamzoea, tuvumiliane tu mpaka hiyo 2015,
Ninaamini kwa kichapo tutakachokipata mpaka muda huo, hatutarudia tena kuchagua kwa kuangalia sura
 
kikwete si mtu wa kulaumiwa.sote tujilaum kwa kua tumebadilika na kuwa taifa la walalamikaj badala ya kufanya kazi.jiulize ww una mchango gani ktk maendeleo ya nchi yako.hakuna mda wa kunyosheana vidole.
 
WaTanzania wanafanya kazi sana napia wanalipa kodi kama inavyotakiwa lakini sasa hawaoni matunda ya kodi wanazolipa na badala yake wanaona viongozi kukwea mapipa na kwenda kutumbua ughaibuni kwa kutumia kodi zao!! Tabia hii ya viongozi ya kutumia vibaya mapato ya serikali na pia kuwalinda wezi kama Jairo ndio inawanya wananchi wajiulize mara mbilimbili kama kweli viongozi wa nchi wanauchungu na hao wanaowaongoza.
 
jairo ameondolewa kazini kwa amri ya rais.hebu jiulize kwa makini sana.tangu kikwete aingie madarakani,ni viongozi/vigogo/vingunge wangapi wametundikwa anza na huyo jairo,mramba,Daniel yona kina lowasa,karamagi.hebu tuwe fair kdg.mpeni mnyonge haki yake.tusiwe taifa la walalamikaj.pili hakuna taifa linalo survive isolated hapa duniani.rais anaposafiri anatengeneza mahusiano na mataifa mengine pamoja na kutengneza michongo.sasa we unataka rais wa vijijin tu ndg yng?lets be critical sm time.
 
Awaonee huruma wakati mwaka jana mmemnyima kura akaingia kwa mabavu subirini mengine mengi zaidi ya hayo, mpaka mtakapo msikia mkimbie kama mmemwona simba mwenye njaa tena kali
 
kikwete si mtu wa kulaumiwa.sote tujilaum kwa kua tumebadilika na kuwa taifa la walalamikaj badala ya kufanya kazi.jiulize ww una mchango gani ktk maendeleo ya nchi yako.hakuna mda wa kunyosheana vidole.

Sasa unajuaje aliyelalamika hapa kama hajajiuliza hayo maswali na hafanyi kazi? Yaani hakuna muda wa kunyoosheana vidole, hivyo mtu akivurunda aachwe asepe? I bet wewe ni mojawapo wa hao viongozi wa calibre ya JK, kama sio beneficiary. Sijui inakuwaje mtu unaanza na maswali, na hata kabla ya kuwa na majibu unatoa hitimisho.
 
jairo ameondolewa kazini kwa amri ya rais.hebu jiulize kwa makini sana.tangu kikwete aingie madarakani,ni viongozi/vigogo/vingunge wangapi wametundikwa anza na huyo jairo,mramba,Daniel yona kina lowasa,karamagi.hebu tuwe fair kdg.mpeni mnyonge haki yake.tusiwe taifa la walalamikaj.pili hakuna taifa linalo survive isolated hapa duniani.rais anaposafiri anatengeneza mahusiano na mataifa mengine pamoja na kutengneza michongo.sasa we unataka rais wa vijijin tu ndg yng?lets be critical sm time.

Hakuna kitu kafanya huyu mtu kikawa cha maana kuwatoa hao pple madarakani has not add any value to practical tanzanian life
 
WaTanzania wanafanya kazi sana napia wanalipa kodi kama inavyotakiwa lakini sasa hawaoni matunda ya kodi wanazolipa na badala yake wanaona viongozi kukwea mapipa na kwenda kutumbua ughaibuni kwa kutumia kodi zao!! Tabia hii ya viongozi ya kutumia vibaya mapato ya serikali na pia kuwalinda wezi kama Jairo ndio inawanya wananchi wajiulize mara mbilimbili kama kweli viongozi wa nchi wanauchungu na hao wanaowaongoza.

DOWANS, EPA, Nchi haina fedha, ajira zimekatizwa.

Wananchi wananyang'anywa ardhi, wawekezaji wanapewa. Je Mtanzania atajiajiri wapi afanye kazi??? Mikopo benki ndo utumbo mkubwa kabisa. Vigogo wanamiliki ardhi hekari 2000, 1000, 500, 200 n,k, wananchi wa kawaida hawana ardhi.

mtoto wa Kigogo kamaliza Chuo tu juzi, ni advocate. kapata wapi mabilioni, kama si wizi. Kutorosha mali asili nje, kusaini mikataba feki wapate 10%. Mtikila anasumbuliwa Bure tu, watanzania tunajua yote. Watanzania wa leo sio wale wa 90s wa kudanganywa na kutishwa.
 
Yaani ndio unashangaa???
Kwani ulikua hujui kama jamaa ndivyo alivyo??
Kwa tunaomjua tushamzoea, tuvumiliane tu mpaka hiyo 2015,
Ninaamini kwa kichapo tutakachokipata mpaka muda huo, hatutarudia tena kuchagua kwa kuangalia sura
2015 hawezi kufika huyo kwani naamini siku zake zinahesabiwa kuwepo hapo magogoni kwani huu uvumilivu una mwisho
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom