Maafa ya mafuriko - kitengo cha maafa pmo mbona hakisikiki?

Maafa ya mafuriko - kitengo cha maafa pmo mbona hakisikiki?

Ustaadh

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
413
Reaction score
20
Kama kumbukumbu zangu ni sahihi huwa kuna kitengo cha maafa ambacho kiko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Tangu tupate janga la mafuriko sijasikia pilikapilika za kitengo hiki. Ningetarajia kuwa kingekuwa msitari wa mbele katika kuongoza/kuratibu shughuli nzima ya kusaidia waathirika wa mafuriko lakini sijasikia chochote. Au kinafanya kazi underground?
 
Who cares? mkuu wa nchi yuko mapumziko, na wao wako mapumziko ya sikukuu. Wakimaliza, utawasikia - kuwa na subira.
 
Back
Top Bottom