Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kutekeleza sheria ya kuwaondoa waliojenga mabondeni halmashauri ya ilala kupitia kwa meya wake jelly silaa wametoa tamko la kuvunja nyumba zote mabondeni ndani ya mwezi mmoja. je hili ni...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya watu hudai kuwa benki ya NMB ni benki ya makabwela. kwa mtazamo wangu kabwela ni mtu mwenye kipato cha chini, hivyo benki hii iko kwa ajili ya watu wa kipato cha chini Hata hivyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuliwahi kutokea, wakati muafaka wa kuwaondoa watu waliojenga mabondeni ni huu!!! Serikali ya mitaa na kuu wanatakiwa kuhakikisha mabaki yote ya nyumba yasafishwa mara moja kuhakikisha ndugu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wananchi manusura wa mafuriko Dar waonesha hasira zao dhidi ya serikali ya CCM. Mmoja wa waathirika alikataa kuokolewa na waokozi wa kujitolea,baadb ya kukaa siku ya 2 na familia yake juu ya paa...
7 Reactions
99 Replies
9K Views
Mzee Hassan Nassor Moyo akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume nishani ya Shujaa wa Zanzibar iliyotolewa na Swahili Performing Arts Centre (SPAC) ambapo nishani kama hiyo tayari...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Inafika kipind mtu lazima awe chizi. Hapa nataka kuwagusa kidogo wale jamaa hasa katika nchi anayotoka baba Brooklyn ambae ni maarufu kuliko hata viongozi wake. Alipoona hana jipya yaani hakuna...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo la ajabu na la kusikitika rais wetu kuacha wananchi wakihaha na maafa ya mafuriko na kwenda kupumzika serengeti,si pinda wala kikwete waliojitokeza mapema kuwapa watz wenzetu moyo,badala...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakuu kuna foleni ya kufa mtu hapa kati ya mlandizi na vigwaza toka saa 4pm jana gari haziendi mabasi ya mkoani yamekwama sisiwa Mwanza,KAHAMA ndio kero kabisa tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Closed
Baadhi ya Waumini wa dini ya Ki-islam wamepokea wameshindwa kuelewa kuhusu maandamano ya kupinga MUO,wengi wao wakisisitiza kuwa hawaoni sababu za kupinga MOU.Muleba inazohospital kubwa za...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
WAKUTWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA DALADALA STENDI YA POSTA IRINGA NI Vigumu kuamini ukisikia na si rahisi kuvumilia ukiona ila ipo methari ya Kiswahili isemayo ukistaajabu ya musa utayaona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
tupe uzoef wa bosi wako
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Deodatus Kinawiro, amezuia kufanyika kwa mdahalo wa kujadili katiba mpya ulioandaliwa na Mtandao wa Mashirika yasiyokuwa ya serikali mkoa wa Mbeya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kutizama Sherehe za Uhuru nikakerwa nazo Kujimuvuzisha Star Tv Naona Mechi ya Wabunge ta Muungano na Wale wa Baraza la Wawakilishi Ambayo Imedhaminiwa Kwa Ushirikiano wa Super Doll na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jf utulivu na amani uwatawale wakati huu wa X-mass Otherwise marry X-mass you all JF and I love youuuuuuuuuuuuu
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kumbukumbu zangu zinaonesha tangu Ewura aingilie kati mwaka 2009 bei ya mafuta Dar ilipokuwa 2300 hadi Leo haijafika huko pamoja na bei ya mafuta katika solo la dunia kupanda Mara tatu! Tuituhumu...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
wana Jf hii imeekaaje home kigamboni mdaiwa wa bodi ya mikopo sasa hawa Public Service Recruitment Secretariat wanatuambia lazima barua zetu zipitie posta hivi ni njia sahihi ya kuinua mashirika...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
What comes to mind when you think of Christmas: friends and family, trees and decorations, food, cards, presents, shopping, carols, boring television and different celebrations? Normal you might...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Nafikiri inafaa ifikie mahali mahakama yetu ya Tanzania kuwa na uwezo wa kutofautiana na Serikali sehemu zingine hasa kwa yale mambo ya msingi Kitaifa na Kimataifa, Mahakama zetu ziige msimamo wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh E.Lowasa kafiwa na mdogo wake Lonard Lowasa,kifo kimetokea ktk Hospital ya AICC Arusha na mazishi yatafanyika kijijini kwao Ngarashi Monduri Jpili ya Tareh 25/12 saa nane mchana mungu ailaze...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara ni kwanini serekali imekuwa ikiitambua BAKWATA kama mwakilishi halali wa Waislam wote Tanzania wakati wapo Waislam wengi wasioitambua au wasiofungamanana na...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Back
Top Bottom