Kajirushe weekend hii lakini kumbuka mvua bado ipo

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Jamani ule utabiri wa watu wa hali ya hewa ni kuwa mvua zitanyesha kwa siku tano. Kimahesabu leo ndo siku ya tano kwa maana nyingine leo ni fainali. msije mkaenda viwanja aidha wakati wa kurudi njia zikawa hazipitiki au ukakuta nyumba haipo. take care you all and have a nice weekend
 
Teh teh teh teh teh cjui inakuwaje kama wato wapo club wanayarudi mara vua ya buku tatu inamwagika mara club inasombwa full vibweka mbaya zaid home kwa me/ke wako uwe umeaga unasafiri mara unaonyeshwa kwenye runinga ni muhanga wa mafuriko.

Mvua hii kwa wale wenye ndoa hata gest si mahali pa kustareheka tena
 
Back
Top Bottom