Tafadhali malkia..."kale ka-chenchi ketu ka-rada tuleteeni elkopta ya kuokolia ktk mafuliko"...

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
...kwanza nawapa pole ndugu zetu wote mliokumbwa na mafuliko Dar,MBEYA na wote mliopatwa na kadhia kama hii pote pote pale Tanganyika.Pili nigependa kuiomba selikari ya Uingeleza kupitia ubalozi wenu hapo Dar,tafadhali nawaomba kale ka-chenchi ketu ka-rada mtuletee helkopta ya kuokolea.1.Nimejaribu kufuatilia taharifu ktk vyombo vya habari jinsi serikali inavyo toa msaada kwa watu waliokwama ktk ya mafuliko,sijaona kitu kama helkopta inayotoa msaada wa kuokoa watu walio zingilwa na maji.2.Nimesoma kwenye gazetu watu wamekaa kwenye mapaa ya nyumba siku mbili,mkuu wa nchi unawapita kwa helkopta akiwapungia mkono...Chonde chonde malkia tuletee helkopta si pesa kama hii serilali anavyotaka kwan si-dhani kama itatumika kama walivyosema...Wasiwasi wangu mkileta pesa watanunua ma-VX,GX,kugawana posho ktk washa,makogogamano,semina elekezi na zitakazo baki waende mapumzikoni Serengeti...
 
Back
Top Bottom