salama jamani.
Jamani sikujua kama bunju A nilipouziwa kuna mkondo wa maji kiasi hiki. Yamepanda nyumba yanataka kuingia ndani. Jamani jamani, jirani yangu analia hapo nje. Mvua ya leo c mchezo...
Nasafiri kutokea Morogoro nimekuta ajali mbaya sana maeneo ya CHALINZE kati ya basi la MJ SAFARI limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo anina ya SCANIA na kupinduka vibaya. Nimeshuhudia...
Heshima kwenu wanajamii;
mimi ni mtumishi wa umma ambao mshahara wangu ni TGD 2 ambao baada ya makato napokea sh. 370,920
nimekuwa nikipokea kiasi hicho kuanzia Julai mwaka huu mpaka Novemba, 2011...
Mnaotumia barabara ya mandela road toka buguruni sheli hadi njia panda ya Tabata jaribuni kutumia njia mbadala kwani njia ina foleni ambalo halitembei. ni kwamba daraja la matumbi lilibomoka...
JK baada ya kuzunguka kwa helikopta kuona mafuriko yaliyowakumba wakazi wa Dar atahutubia wakazi wa jiji hili katika uwanja wa shule ya Mchikichini, Ilala mchana huu.
TAARIFA YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA MAOVU HOSPITALI YA MKOA MTWARA.
UTANGULIZI
Mheshimiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Mkoa
Waheshimiwa Wajumbe wa Bodi ya Hospitali ya Mkoa...
Wateja wa NMB waliofurika leo asubuhi wamekerwa na utaratibu wa huduma kwa foleni baada ya wafanyakazi wa benki hiyo kuvuruga utaratibu kwa kuwapendelea wale wanaowafahamu kwa sura na majina...
Wanajamii hapa tumekuwa na mjadala mrefu kuhusu kufukuzwa uanachama david kafulila kwa kosa la kuzungumza siri za chama kwenye vyombo vya habari. Ningependa kujua wafuatiliaji wa habari.
Ni...
Yaani leo
nimekuwa kwenye maandamano tankibovu mpaka kawe kwa kweli nimewiwa na mijuiza ya mungu
pale alipotuunganisha na wenye magari yao kuandamana na huku yule unaemjua akikupita kila siku...
Nilikuwa najiuliza mfano tukampa nchi aiongoze je tatizo wanalolipata waishio mabondeni huko daslam kila inyweshapo mvua atalimaliza? Kwa mtazamo wangu tatizo sio mvua wala kuishi mabondeni...
kutokana na daraja linalo unganisha kawe na tank bovu kubomoka, wanajeshi wa rugalo ndo wanasimamia movement za watu na magari wakati wa kuvuka daraja. lakini umbali walio uweka ikishuka gari ili...
Mvua kubwa ikiambatana na radi kali inayoendelea kunyesha usiku huu, imezua kizaa jijin dar es salaam. Kila sehemu ni mafuriko, barabaran magar hayaendeki, hizi barabara zetu za uswahili wala...
Tuma neno MAAFA kwenda 15599 kuwachangia waathirika wa maafa ya mafuriko nchini. Tsh 500 kwa SMS. {Wateja wa voda com} Jaman hivi hizi fedha huwafikia walengwa ?
Napata raha sana kufuatilia kipindi cha Usalama Barabarani kinachorushwa na TBC-1 kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi..sijui kama kipindi hiki kinarekodiwa kwenye matukio la moja kwa moja (live)...
Salaam wakuu wa JF!!
Mimi hili jambo linanitatiza na kunichanganya sana. Mara nyingi watu wanapoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali katika utumishi wa umma, utasikia taarifa inasema kwamba uteuzi...
Just run into this, ......................Anyone know what happened to these thieves????
Puzzle as UDA millions paid to board chairman
Tuesday, 02 August 2011 21:58
digg
By The...
Kwa kweli shirika la umeme Tanzania (Tanesco) sisi wateja wenu tunashindwa kuwaelewa kabisa,kwani badala ya huduma zenu kuboroke siku baada ya siku zimekua ndio zinazidi kudorora na kufifia kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.