Dr. Slaa Msikivu, Mfano wa kuigwa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
images
images
images

Dr. W. Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema

Wiki iliyopita iliwekwa mada hapa kuhusu Dr. Slaa ambaye ni katibu mkuu wa Chadema kuhusu mvao wake kila anapotokea ni magwanda tu hata iwe katika hafla ya kitaifa au shughuli nyingine za umma. Wengi walimshambulia hapa mtoa mada bila kujali maudhui ya hoja zake.

Katika picha hii leo unaweza kuona anapotoa tamko la Chadema kuhusu mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar amebadili mvao, ingawa ni sare ya Chadema, lakini mvao huo umembadili kwa kiasi kikumbwa mwonekano wake tuliozoea kumwona. Hapa anaonekana ni rais mtarajiwa atakavyokuwa anaonekana anapotoa ujumbe mahsusi kwa taifa.

Asante Dr. Slaa kwa kuwa na sikio sikivu, ni dalili nzuri za uongozi wenye kuleta matumaini mapya kwa kizazi cha leo. Tutajitahidi kila inapowezekana kutoa mapendekezo na ushauri wa kufaa kutokana na tabia yako ya kuwa flexable, Thanks again.
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
 
unapenda mambo ya udini udini sana huwazi kama anaweza kuhudumia jamii ..loser..
 
tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana

digree ya kanisa ndo
mnyama gani?

Yaani mpumbav ni mpumbav tu hata km ni msomi!
 
Mara kumi ya zito MSOMI kuliko slaa!... hivi kwa nini aliacha kulitumikia kanisa... kama alitimuliwa maana yake hawakumuamini tutamuamini vipi na nchi ..?! "ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Kama Zitto ni msomi kwa nini msimpe cheo cha umufti badala ya kuongozwa na mufti ambaye ameishia darasa la saba? hamuoni huyu mufti Shabaani bin Simba akikaa na Cardinal Pengo inabidi akae kama bubu maana hawezi kuchangia mada yoyote?
Huyu Mufti anawatia aibu sana waislamu.
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana

wameshaamini kuwa Slaa ndie pekee mwenye hadhi ya ukatibu.
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana

Halafu wanamuita Dr.Slaa.Ni bora waseme full ni dokta wa nn!!au ni vizuri zaidi km wakimuita Padri Slaa,mbona na hili ni poa tu
 
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???

Tafuteni msomi wa elimu dunia bana

kikwete amesoma?
 
images
images
images

Dr. W. Slaa, Katibu Mkuu wa Chadema

Wiki iliyopita iliwekwa mada hapa kuhusu Dr. Slaa ambaye ni katibu mkuu wa Chadema kuhusu mvao wake kila anapotokea ni magwanda tu hata iwe katika hafla ya kitaifa au shughuli nyingine za umma. Wengi walimshambulia hapa mtoa mada bila kujali maudhui ya hoja zake.

Katika picha hii leo unaweza kuona anapotoa tamko la Chadema kuhusu mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar amebadili mvao, ingawa ni sare ya Chadema, lakini mvao huo umembadili kwa kiasi kikumbwa mwonekano wake tuliozoea kumwona. Hapa anaonekana ni rais mtarajiwa atakavyokuwa anaonekana anapotoa ujumbe mahsusi kwa taifa.

Asante Dr. Slaa kwa kuwa na sikio sikivu, ni dalili nzuri za uongozi wenye kuleta matumaini mapya kwa kizazi cha leo. Tutajitahidi kila inapowezekana kutoa mapendekezo na ushauri wa kufaa kutokana na tabia yako ya kuwa flexable, Thanks again.

Ukiuliwa who is the next president wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jibu ni Dr. Slaa. Amini rais ajaye hatatokea Visiwani kama siri ilivyovujishwa wiki hii na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom