Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ee bana nyie jamaa mnamwaribia sana kibonde'yaani kibonde ni mzoefu kwenye hiyo kazi halafu ana kipaji cha kuongea'sasa nyie vilaza wawili mnaharibu kila kitu'sijui nini maana ya nyie kuruhusiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello JF members! I have just received a very impressive/cautioning sms! I could not stand, let us share this: We are just about to close the year 2011. Think....."How many stopped breathing...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Tangu kumekucha na baada ya kujiunga na moja ya uduma zao ya xtrem(mia zaidi).. Mpaka muda huu nimejaribu kiasi sms zingekuwa zinaenda basi sasa hiv salio langu la sms lingekuwa linasoma 1 au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkuu william nimeshangazwa sana na mpango wako wa kuja kugombea ubunge katika lile jimbo alilokataliwa baba yako mzazi, nimesoma kule facebook na huku jf nikaona kwa mkono wako mwenyewe umeandika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani wale waimbaji wa Rwanda walioimba kwetu pazuri, wametoa New Album yao Vol 4, baada ya Ajali waliyoipata pale Kahama Pia habari za kuaminika ni kuwa watakuwa Dar mwezi wa kumi na mbili...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Mafedhuli wakubwa ninyi... mnakata na kurudisha kisha kukata tena iliweje sasa??? Kama siyo kutuunguzia vifaa vyetu.... Nyambafuuuuu!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu naona hoja dhaifu kuilaumu serikali 100% kwa yaliyojilia katika mafuriko Dar na athari zake. Ya miundo mbinu ni haki serikali kulaumiwa, ya kuchelewesha huduma za uokoaji ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Da es Salaam, Said Meck Sadiki Serikali imewaamuru waathirika wote wa mafuriko jijini Dar es Salaam waliohifadhiwa katika makambi ya shule za msingi na sekondari waondoke mara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Doomsday theory based on Mayan calendar Dating game ... Mayan Sun Stone Published: Today THE world will end in 2012 – that's what a growing number of people believe. Here Nick Pope, an...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
shime shime, nduguzangu wa mabondeni, mziki wa radi ndo huooooo umekolea masikioni na mwanga wa radi ucpime. Mungu atunusuru na janga hili Chukua tahadhali
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Serengeti kupitia tawi lake la mwanza limezindua bia ijulikanayo kwa jina la SENETOR yenye alcohol 6% ambayo ni mahususi kwa watu wa kipato cha chini. So walevi wenzangu tunafunga na kufungua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kupitia Magic FM kipindi cha michezo, mpiga kinanda maarufu 'Father Kidevu' ametutoka !
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yaani ndo nimefika nyumbani sasa ivi kutoka kazini, nilikuwa kwenye daladala ziendazo mabibo ambazo wakati mwengine hukimbia foleni kwa kuzungukia huu upande wa tanesco. Ukipita pale ni kweli...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Mh. Lyatonga Mrema na TLP yake wametoa mifuko 25 ya unga kwa waathirika wa mafuriko. Tunamshukuru mzee wa Vunjo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
serikali inataka kuwahamisha watu wote waliojenga mabondeni na kuwapatia viwanja maeneo mengine lakini hawa wananchi wanataka fidia pale watakapo hamishwa, hivi kuna uhalali wa wananchi hawa kudai...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni mwenzenu nimebahatika kusherehekea x-mas nikiwa mtwara. kama kawaida nilitembelea sehemu za vinywaji. Pub tuliyotembelea ilikuwa ina chini na juu. {ghorofa} mzee mmoja akawa hataki kukaa chini...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Hana tofauti na wanafunzi wa Udom, akiwa udms bangi ilikuwa ndio starehe yake. Kipindi hicho alikuwa radical sana, kumbuka wakati ule anafuatilia mikopo ya wanafunzi hesbl, alikuwa anavuta kwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata habari juu juu kwa msg kuwa kumetokea majanga la kufa kwa watu huko mererani. Wadau wa Arusha na manyara tujuzeni kama kuna janga lolote la kufa kwa watu.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mlemavu anayeitwa hamis. Ana mke,watoto watatu na ndugu 4. Biashara yake ni bangi.ameweza kuoa,kujenga nyumba na kutunza familia kwa kilimo/uuzaj wa bangi. Tarehe 20 mwez huu alikamatwa na bang...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa wale wakazi wa maeneo ya Ifunda, Iringa au yeyote anayeweza kutolea ufafanuzi wa jambo hili, kuna sehemu TANESCO wamepigisha 90 degree turn power line yao ili kutopita juu ya Makaburi...
0 Reactions
97 Replies
14K Views
Back
Top Bottom