Mlemavu mkulima/mfanyabiashara ya bangi b'mulo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlemavu mkulima/mfanyabiashara ya bangi b'mulo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajunju, Dec 28, 2011.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mlemavu anayeitwa hamis. Ana mke,watoto watatu na ndugu 4. Biashara yake ni bangi.ameweza kuoa,kujenga nyumba na kutunza familia kwa kilimo/uuzaj wa bangi. Tarehe 20 mwez huu alikamatwa na bang kilo 200 na kupelekwa mahakaman.amekili kufanya biashara hiyo kwan ndiyo inamuingizia kipato.hakimu ameachiwa huru. La kusikitisha kasema wakileta mahind ya msaada yeye hawampatii.kasema bangi inalipa ila ataacha kama serikali itakuwa tayari kumpatia huduma. Source: *tv
   
Loading...