Mererani kumetokea nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mererani kumetokea nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Wa Rubisi, Dec 28, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,748
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nimepata habari juu juu kwa msg kuwa kumetokea majanga la kufa kwa watu huko mererani.
  Wadau wa Arusha na manyara tujuzeni kama kuna janga lolote la kufa kwa watu.
   
 2. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,136
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  What happened?
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,334
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Ngoja niende huko maana ukisikia hivyo basi mashimo yatatema kupindukia.
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,720
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  mkuu umeipata wapi hiyo?
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  MUNGU kawe mkubwa yasije kutokea ya mwaka 1998.
   
 6. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kulitokea nn mkuu huo mwaka?
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Duuuuuh ngoja nimuulize mdau mmoja aliyopo huko.
   
 8. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 2,995
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yaani bado unaamini ushirikina wa aina hiyo? Ndiyo nyinyi mukiambiwa mupeleke vichwa vya watu basi mutatekeleza kwa tamaa ya utajiri
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  duu ngoja nione ndio niandike comment vizuri..
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Napata wasiwasi pia, i called kama two people hawapatikani
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,410
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  mbona niko mitaa ya usa lakini sijasikia kitu.
   
 12. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna matukio kama watu wa5 kati ya 6 wa familia moja kuteketea kwa moto siku ya Krisimasi, wengine kukutwa wamefia ndani kwa risasi baada ya kufungua zawadi za krisimasi nk lakini tukio linalowezaitwa janga la kitaifa hakuna.
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hilo si JaNgA?
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,171
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kutokana na chanzo kilichopo huko ni kweli kuna watu wamefunikwa na kifusi cha mgodi lakini idadi yao haijafahamika. Habari hizo zimelijiri muda wa saa nane mchana maeneo.
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Bila ya kukosea

  Ilikuwa ni nyakati ya masika ya mvua ya El-nino ambao Ndg zetu wapatao 150 ama na zaidi walipoteza maisha baada ya mafuriko iliyokuwa na mfano kwa leo na hayo yaliyoyakuta Ndg zetu wa Dar-es-salaam na kuwafungia wote waliokuwepo mgodini na walionusurika kwa janga hilo walitoa ushuhuda
  Hakika nakwambie tuliwapote Nguvu ya Umma mwaka 1998 wengi sana

  Kuna familia moja ilipoteza zaidi ya watu watatu waliokuwa ktk shimo moja.

  La msingi ni kumwomba MUNGU aepushe majanga kama haya:
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Mkuu! Kuna uwezekano wa kujua kama imetokea ktk mgodi wa nani?

  Ama imetokea kati ya Opec,samacx ama Block D?
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Kamanda! Yani nakwambia humu jamvini tuna watu wenye akili baridi na wasio na mfano hata kidogo ila itabidi tuwaeleweshe na tutafika tu!

  Sijui ana JANGA ni lile la wa elfu wapoteze maisha nini!
   
 18. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Beretta za Mabroker zilipanda leo full light sijui walimaanisha nini
   
 19. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  inasikitisha sana kuwa na watu wa aina hii duniani
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,985
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Puppy!

  Bila shaka ni mtu wa kutupa taarifa kamili maana inaweza ikawa kuna mambo mazito huko.

  Lakini nahisi atakuja mwenye full data ya huko na atatujuza.
  Tusubirie!
   
Loading...