Wanawake wa Mtwara ni noma. sikukuu yote hii!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa Mtwara ni noma. sikukuu yote hii!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by janejean, Dec 26, 2011.

 1. j

  janejean Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mwenzenu nimebahatika kusherehekea x-mas nikiwa mtwara. kama kawaida nilitembelea sehemu za vinywaji. Pub tuliyotembelea ilikuwa ina chini na juu. {ghorofa} mzee mmoja akawa hataki kukaa chini anataka tukae juu. Mtoa huduma alisema " baa!! ata chini ni mkao tu, utakaa juu tu? ukunichukua mimi nitakujuilia juilia" Tulipomuuliza maana ya usemi wake, alisema atamchanganyia style za mapenzi kiasi kwamba hatojua kama alilala chini au juu. sasa jamani kweli hapa atanusurika mtu na kibaridi cha mvua hiki?
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  wa mtwara wachovu, mi nataka demu wa kitanga ani pm tukubaliane terms and conditions. Ukishaona kisimi kikidinda?
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hiyo pub inaitwaje kwani?
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Ngoma mnawapima lakini?
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mmeanza!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  ndo maana maradhi hayaishi lol....
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hujui kama tumeumbiwa sisi wanadamu..
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wageni utawajua tu na post zao.
  1. cha ajabu nini hapo?
  2. ishu ni ipi hapo.....unataka tukuambie uondoke nae au unataka tujadili ishu ya kwamba wanawake wa mtwara wana maneno mazito au wanajua mapenzi?
  weka vizuri topic yako na contents ili tujadili vema.
  kijana kitendo cha kuambiwa hivyo plus ubaridi ndo vikufanye ummendee huyo dada? mbona bia tu zinasaidia kuondoa baridi......ila ukishalewa ndo umejipa tiketi ya kutoka naye night.
   
 9. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Unyago utotoni unawaharibu badala ya kuwajenga.
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  \
  No research no................ to speak. Tafuta tatizo mkuu
  mwenzio nimefanya utafiti nimegundua tatizo si unyago
  kwani unyagoni wanafundishwa sana adabu na heshima
   
 11. j

  janejean Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waheshimiwa walifuata vinywaji na sio wanawake. lakini umeweza kufikiria ushawishi aliomfanyia mzee wa watu pamoja na aliokuwa nao? na je unafikiri wote waliofanyiwa mitego hiyo waliweza kujinasua? Kuhusu ugeni au uenyeji wa jf sio muhimu. Cha msingi ni hoja gani ulizokujanazo .
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  ndo myasake jamani?
   
 13. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Tanzania bila UKIMWI inawezekana
   
 14. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo ni Lugha ya biashara ya kuvutia wateja ili kesho na kesho kutwa uende hiyo pub tena na tena ukiamini kuwa kuna mademu delele, wajinga ndo waliwao.... lol !!
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Bahati yako ulikuwa mstaarabu kama mie, kuna rafiki yangu alinisimulia yaliyompata kudandia alijutia kuzaliwa, kuna makabila huko yanakeketa, bora kurefusha masikio au kuvuta midomo, usijefikiria kawekewa kufuli. Utakuja elewa ukijifunza mila za wamakonde, wamwera na wamakua na kujua nani kati hao dada zao si wakuwakimbilia usijeaibika hadi uelekezwe. Bahati nzuri kuongea na wengi tunanjifunza mengi na kuwa na tahadhari licha ya HIV lakini mambo ya kawaida utakapohitaji kuelekezwa vinginevyo kama hujui na mwenyewe hakupi msaada wa maelekezo yatakushinda.
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Umejitahidi kuweka vizuri tafsiri tetezi ya mtoa mada ingawa hali halisi ni tofauti, kwani kuna ndugu yangu alipangiwa kazi huko, malalamiko ya kwanza aliyoniletea ni kuona tofauti ya utamaduni wao, kwani msichana ndiye anayamtongoza mvulana tofauti na tamaduni nyingine ambapo msichana hutoa viashiria tu na mwanaume anakuachia kazi ya kujituma na kama una ulimi mzito basi mshenga mzoefu atamalizia kazi. Kwa kauli hiyo usijetetea kwani utamaduni wao ni ule mfumo wa matri... tofauti na patri....

  "Baa! njomba umenipata, la hujanipata basi nta maana!"
   
 17. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Peleka Jukwaa la wakubwa hii post
   
 18. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  tuambie hiyo heshima inayofundishwa unyagoni kwa mtoto wa miaka 5? Kama c ujinga tu wa matusi na kupoteza muda na mali?
   
 19. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  mh... basi wasingekuwa wanaficha wanayofundishwa..
   
 20. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  tafuta Mmwera,hawa asili yao Nachingwea.
   
Loading...