Ninapoandika kuna kundi la matapeli wa majoho wanaoandaa tamasha eti la kuombea taifa! Hivi Tanzania inahitaji kuombewa au kuambiwa ukweli mchungu hasa kupambana na vikwazo vinavyoifanya iwe...
TBC bwana uandishi wa habari huu mtaacha lini? Badala ya kutuandikia kuwa ndugu yake alichanganya mwili wa marehemu mnatangaza eti mtu amekufa na amehifadhiwa mortuary na amethibitishwa na Dr...
Waziri Barak alifanya mahojiano na Radio Israel na kutoa kauli ambayo imenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari vya nchi hiyo wiki iliyopita kuwa
Germany, France and England are not Tanzania...
Mhariri wa tanzania daima amabe anahusishwa na kesi ya jinai bwa absalom kibanda amesema
wapo watu wanamtafuta wammalize kisa kuwa karibu na lowasaa
akuishi hayo akasema pamoja na kutaka...
Iinawezekana kuna wakati uliandika thread au comment saaafi lakini sio member wote walipata/tulipata kuisoma. Yes tuna assume kwa kila member tunachonadika ni bora lakini tuchague TANO...
Pamoja na kuwafukuza mameneja watatu kwa kutoa siri zake siri imeshafichuka na huu ndio upuuuzi wa malipo ya mkurugenzi wa ppf mr erio
mshahara million 12 kwa mwezi
posho ya malazi million 4 kwa...
Kweli shetani akiamua kukutumia ni shida
mchezaji wetu wa vituko xmass amefunga mtaanakuwahudumia watu kwenye bar kwa kuwanywesha
bia ambazo baada ya mwenye bar kumwambia bia zimeisha anaomba...
Huu ndio mtaji wa ccm ambao umewasadia kuwa wa win watanzania na kuendelea kuwatawala zaidi ya miaka 50 sasa
1. Uwoga wa Watanzania. Wameweza kuwapumbaza watanzania kwa philosophia ya amani...
Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa. Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga...
Mara kwa mara tunashangaa polisi ana kusimamisha na anakuambia bima ya gari
imeisha au road tax.
Unajiuliza ameota vipi?
Kumbe wanawatumia machinga wa barabarani kuwapa habari kwa kutumia simu...
Ni muda mrefu sana tangu zifungwe, barabara ilishapokelewa lakini cha ajabu hadi leo taa bado hazijwashwa. Kuna tatizo gani au zitawashwa wakati wakati wa uchaguzi wa CCM mwakani?
Kuna ajali imetokea muda si mrefu maeneo ya ubungo mataa, ambapo semitrela amelaa barabarani baada ya kutokea hitilafu au dereva kushindwa kulimudu gari hilo.
Taarifa zaidi za kiuchunguzi na...
Ni kiji-swali tu vp kuhusu ule mradi wa barabara kuunganisha barabara ya Yanga na Kigogo, ningependa kujua kama imesalimika na kama imezombwa na maji tujiulize uhandisi wetu unatupeleka wapi? na...
Niliona na kusikia tbc eti vyombo vya kupikia chakula ni vidogo hivyo kulazimika kupika kwa zamu kwa chombo. Watu wanashinda na njaa.Hivi jamani hata magudulia ya kupikia tumekosa? Aibu aibu
WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMA"POLITICAL STRATEGIST" KUTOA...
Sisi polisi wa kituo cha oysterbay tunasikitishwa uongozi wa polisi kimkoa kinondoni kwa kutudhulumu posho zetu za ulinzi wa tamasha la novemba 26 pale leaders club.
Katika tamasha hilo...
MY NIGHTMARE IN TANZANIA
From: Ray Bergen
To: Lisana Koliskowski
Hello Lisa
I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania . The most important thing was getting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.