JAPO nigarama sana .....yaweza hata kugarimu damu ya watanzania LAKINI ili KUTHUBUTU TUWEZE NA TUSONGE MBELE .....nilazima TUPATE katiba mpya .....itakayo tokana na wananchi wa TANZANIA kwasasa...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali(Mst) Joseph Simbakalia ametunukiwa Nishani na Papa Benedict XVI baada ya kuteuliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa ndiye Mlei bora kabisa kwa mwaka huu 2011...
Photo: Tony Fouhse/IDRC
UN researcher slams ‘racist' Oslo police
A Ugandan UN climate researcher has "reluctantly" accepted an apology from Oslo police after he was...
Wasalaam wana JF!
Kwa muda sasa kumekuwa na msukumo mkubwa wa kujaribu kulinganisha juu ya yupi miongoni ya viongozi wa CCM
ana "uafadhali" katika ugombea wa urais mwaka 2015.Wengi wametajwa na...
Ndugu zanguni napenda kutoa masikitiko yangu kwa wapendwa wetu wote waliokumbwa na maafa ya mafuriko jijini Dar es Salaam na pahala pengine popote pale ndani ya nchi yetu. Pia niwape pole ndugu na...
Shibuda na Shilungushela wapo. Mkutano umeanza muda kidogo.
Watu ni wengi pia samahani kwa kuwa title lilikuwa tufauti na maelezo lakini nimerekebisha.
Kwanza Shikamoo.
Nilikuwa nazunguka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Lindi na Mtwara, nasikia moja ya kampuni zinazonunua korosho ni yako wewe na
Riziwani, Eti ndio maana safari hii makampuni mengi...
Kama kuna viumbe wa Mwenyezi Mungu ninaoheshimu uwezo wao mkubwa wa kuandika na kuchambua mambo basi ni Mwanakiji. Licha ya hivyo binafsi sikubaliani na tabia ya Mwanakijiji ya kutuanzishia tovuti...
Hawa makruta kutoka CCP walienda matejo, wakashika machalii kibao na gongo. siku ya kwanza walifanikiwa.
Siku nyingine wakaenda, hiyo ilikuwa wiki iliyopita. Kumbe watu walikuwa wamejipanga...
Januari 5, naikumbuka vizuri sana hasa ya mwaka huu 2011 unaoisha, wanamapinduzi na wapigania uhuru na haki waliuawa kwa maksudi kabisa na jeshi la polisi kupitia kwa askari polisi waliokuwa...
Ni kuhusu Airtel Money, mawakala ni wachache sana huku mitaani.
Kwa vile mtandao huu ndo angalau wenye huduma zenye unafuu huku Tanganyika(in exception of Zanzibar Telecom), warekebishe hili...
Mamia ya Wayahudi wanaofuata dini yao kiasilia, wamepambana na polisi karibu na Jerusalem kwa sababu ya mvutano kuhusu kuwatenga wanawake na wanaume.
Afisa mmoja wa polisi alijeruhiwa katika mji...
Mi kwa upande wangu nilikuwa sijui kama ktk tanzania yetu mtu anaweza kuanzia elimu ya sekondari kidato cha pili mala tu baada ya kumaliza elimu ya msingi[std 7] kwa mfumo lasmi achana na ule...
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia taarifa ya habari ya vyombo vya Tanzania na jirani zetu (at least mmoja), pamoja na magazeti yao ya kiingereza na kiswahil; kwa maoni yangu!
Tanzania (coverage...
hatimae ile mvua iliyotabiriwa na TMA(mamlaka ya hali ya hewa Tanzania) yaanza kunyesha kidogo kidogo maeneo ya Gongolamboto na Mbezi hvyo wale ndugu walioamua kurudi maeneo ya Jangwani...
hi wana jf? hii wizara ya elimu mbona hawatoi maelezo yoyote kuhusu lini itaajiri walimu wapya? watu watunakaa mtaani bila kazi waseme kama vipi watu tukatafute kwingine kwa mfano walimu wa mwaka...
Naona sasa manabii wa uongo wanaanza kujionyesha. Wewe Luseleko unafikia wapi mpaka umfananishe Nyerere na hawa viongozi wa sasa? Au babu wa loliondo kaanza kukata mirija yako ya kiuchumi ndio...
Mahakama nchini Ethiopia leo hii imewahukumu waandishi wa habari wawili wa Kisweden kifungo cha miaka 11 gerezani kutokana na tuhuma za kusaidia vitendo vya kigaidi na kuingia nchini humo kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.