Hivi kuna haki ya kudai fidia kwa watu waliojenga mabondeni?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
serikali inataka kuwahamisha watu wote waliojenga mabondeni na kuwapatia viwanja maeneo mengine lakini hawa wananchi wanataka fidia pale watakapo hamishwa, hivi kuna uhalali wa wananchi hawa kudai fidia ili hali wanasaidiwa wasipate tena majanga ya mafuriko
 
hamna uhalali wowote wakuwalipa...
ni kama waliojenga kwenye hifadhi yabararabara tu
@Duduwasha-suala la umeme hiyo ni biashara ya tanesco ukikidhi mahitaji yako wanakuunganishia hawakuulizi hati haiwahusu
 
Back
Top Bottom