Waraka kwa William Malecela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka kwa William Malecela

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Dec 28, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu william

  nimeshangazwa sana na mpango wako wa kuja kugombea ubunge katika lile jimbo alilokataliwa baba yako mzazi,
  nimesoma kule facebook na huku jf nikaona kwa mkono wako mwenyewe umeandika hayo tena kwa majivuno ya hali ya juu
  mkuu najua kabisa una haki kama mtanzania yeyote yule kuja na kugombea ubunge kwa kuwa ni haki yako ya kuzaliwa

  lakini tangu nilipojua nia yako ya kufanya vile nilianza kujiuliza maswali mengi sana,hivi unafikiria nini hasa mpaka ufikie uamuzi wa aina hiyo,hivi unawaonaje watanzania hasa<HIVI UWEZO WAko wa kufikiri ukoje hasa,

  mkuu umeishi marekani miaka mingi wewe na mkeo na familiya yako,sijui kama unapataga nafasi ya kuja kuchungulia nini kinaendelea kwenye nchi yako na kuondoka,

  baba yako alipowasaidia kupitia mgongo wake kama waziri mkuu aliona kabisa nyie hamna future hapa tanzania,sijui nini kilimsukuma yule mzee aliyebadili dini uzeeni kufanya vile,

  lakini wengi tulibaki nyumbani ambao ni rika moja na wewe kutokana na uwezo duni wa wazazi wetu ambao kwa kweli sipendi kukumbuka jinsi tulivyolelewa kwa taabu kubwa sana (mimi umri wangu kama wako)

  umeishi maisha mazuri sana huko @NYC ambako unapasifia kila ukituma post kule facebook
  nia na madhumuni yako ya kuja kugombea ubunge ni kiburi cha uzima,umeishi maisha mazuri tangu unazaliwa mpaka leo unapozeeka,
  maana yako ya kuja kugombea ubunge sio kuwasaidia wale wagogo walioshindwa kusaidiwa na baba yako kipindi cha karibu miaka 20 alipokuwa mbunge wao,(mtoto wa nyoka ni nyoka)

  nia yako ya kuja kugombea ubunge ni kuendeleza umaskini wa wale watu wa dodoma wanaoongoza kuomba omba pale dsm,
  mkuu nataka ujue tupo watanzania wengi wenye uwezo huo,kuliko wewe kutoka @NYC uje kugombea ubunge bora atoke mtanzania yeyote popote pale ndani ya tanzania kama kule dodoma wamekosa mtu wa kufanya hivyo

  nasema hivyo kwa sababu tume-share matatizo yetu tumebebeana mizigo wakati wewe una enjoy na wamarekani kwenye night club zao
  mimi binafsi kama mtanzania niliyebeba mzigo mzito wa nchi yangu sikubaliani na wewe,

  najua utalazimisha lakini nakuahidi utajutia uamuzi wako nyie ndio watoto wa mafisadi mnaotaka kuendeleza ufisadi wa baba zenu ndani ya nchi yetu kwa nia ya kuja kukandamiza watoto wetu

  tutapambana na nyie kuhakikisha hicho kizazi chenu cha nyoka kimeondolewa kabisa kama kizazi cha gaddafi kilivyoondolewa KULE LIBYA
  naandika hii sio mimi peke yangu nawakilisha mawazo ya mamilioni ya watanzania wanyonge

  chagua kusuka au kunyoA
   
 2. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kaka sijakuelewa.

  Unachuki na Bill wakati yeye ana exercise haki yake ya kikatiba.

  Kwani katiba inamkataza kurudi kugombea?
   
 3. k

  kyakukumensa New Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwamba si rahisi jamaa huyu kujua matatizo ya wanadodoma, lakini si wananchi wataamua.

  Kyakukumensa
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu labda katiba ibadilishwe na kuwakataza watz wanaoishi nje kuwa hawaruhusiwi kugombea nafasi yoyote ya uongozi hapa kwetu ndo utafanikiwa kumzuia otherwise mpaka sasa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama mtz yeyote yule.Apewe nafasi kama anataka labda anaweza akaja vitu vipya kuliko huyo mbumbumbu aliyeko sasa hivi.
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mitanzania inavyopenda njemba za nje sijui kama hata kuwa..
   
 6. k

  kyakukumensa New Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya akina Ghadafi sisi kwetu hayapo na hatutegemei kufika huko, lakini democrasia na uungwana unatufanya tuwe wamoja na wenye uwezo wa kuchagua zuri na baya. Hivyo wanadodoma wanaouwezo kwa kufanya hivyo. Kama jamaa hafai watatupilia mbali na kama vinginevyo maamuzi ni ya. Kura yako ndo nguvu yako hivyo bora ujiandae kuitumia vema wakati ukifika na si vinginevyo.
  Kumbuka Tanzania = Amani na Amani = Tanzania = Watanzania

  Kyakukumensa
   
 7. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaweza kuwa kiongozi bora ila siungi mkono kuanza kufikiria ubunge mwaka 2015 wakati mbunge aliyepo sasa hv ana mwaka mmoja tu madarakani! Amejuaje atashindwa kuongoza vizuri? Nadhani ni uroho wa madaraka tu!
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni mitazamo tu ktk nyanja za kisiasa na maisha

  Je labda amevuna jana @NYC kwa hiyo anataka kuja kugawana na wagogo wenzake mimi na wewe hatujui,

  Ama anaona ubunge unalipa zaidi kuliko kule aliko mimi na wewe hatujui,

  lakini kwa kuwa katiba inampa haki hiyo hakuna wakumzuia ila wagogo wenyewe ndio watakao sema YES ama NO

  Mimi niachieni MOROGORO nataka nikawakomboe wavidunda,waruguru na wapogoro,jamani mniunge mkono na wala msiniwekee visa

  kwa pamoja MOROGORO itakombolewa
   
 9. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usidhani kwa kuja na jina la ki JF hatujui wewe ni nani, mzee wako alikuwa na cheo kikubwa ndani ya chama na uwezo wa kukupeleka shule hata hapo hapo Dodoma lakini hukutaka kwenda shule, kuchezea magari ya chama na muziki ndiyo uliona kitu cha msingi kwako, sasa umekuwa mtu mzima kilaza wasiwasi kila mara, acha woga agwe, watu wanakuja kuchukua jimbo wana haki ya kikatiba, na kwa taarifa yako come 2015 mbunge lazima awe na atleast first degree, ha!ha!ha!, nenda kinondoni biafra open uni...ha!ha!ha!
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  namshangaa!
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Ni uroho wa madaraka kwa nani?!, kwa BILL au Lusinde?, kwani Bill ana madaraka gani?, kwa hiyo mpaka mbunge ashindwe ndo mwingine aruhusiwe kujitokeza?, mnapokezana eh?!, kwani Mtanzania kufanyakazi nje au NYC ni dhambi?,!!!!
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Miongozo ya NEC inasemaje kuhusu ratiba ya kutangaza kugombea ubunge?
   
 13. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  sasa yule Livingstone Lusinde pale hakuna kitu ila kuna kiazi tu naona labda Le mutuz baharia ameliona hilo, ameona watu wa kule yeyote anaweza kufit tu kuwaongoza kama wamemchagua Lusinde anaetumia masaburi kufikiri!
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama walimkataa baba yake huoni kama wapinzani wake watatumia lile neno mtoto wa nyoka ni nyoka?
   
 15. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Gamba Jipya na Episodes,
  Muliachi? Mnaonekana wakubwa mnajuana vizuri, na huu mpambano mfadhiri ni Le Mutuz ama?
   
Loading...