Tanesco acheni ufedhuli wenu... kateni tujuwe moja, nasiyo rabsharabsha zenu!! ***type!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco acheni ufedhuli wenu... kateni tujuwe moja, nasiyo rabsharabsha zenu!! ***type!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steve Dii, Dec 28, 2011.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mafedhuli wakubwa ninyi... mnakata na kurudisha kisha kukata tena iliweje sasa??? Kama siyo kutuunguzia vifaa vyetu.... Nyambafuuuuu!!!
   
 2. G

  Geka Senior Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huku Kigamboni imekuwa ni kero, yaani utafikiri profesheno beeper
   
 3. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Vip mshakatiwa tena nin??

  Auwasha kuunguzia??
   
 4. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Halafu mwezi ujao wanapandisha bei ya umeme huduma zenyewe masaburi!
   
Loading...