Julius mtatiro naye ni mvuta bangi, sijui kama ameacha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius mtatiro naye ni mvuta bangi, sijui kama ameacha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by payuka, Dec 28, 2011.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hana tofauti na wanafunzi wa Udom, akiwa udms bangi ilikuwa ndio starehe yake. Kipindi hicho alikuwa radical sana, kumbuka wakati ule anafuatilia mikopo ya wanafunzi hesbl, alikuwa anavuta kwanza then ndio anakenda kufanya mipango ya migomo.
  Kama huamini acha na nenda zako, usichangie upupu kutokana na fikra zako.

  Tahadhari kwa mods: nawaombeni msiipeleke sehemu ambayo sina access, nina uhakika na nilichokiandika. Acheni watu wachangie na mtasikia mengi. Acheni hila zenu bana, kama ni jamaa yenu acheni tu kwani penye ukweli uwongo hujitenga.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kuna msemo usemao ukitembea na mwizi nawe utakuwa mwizi! sasa wewe umesalimika mkuu! nazingatia umemuona si mara moja, kiasi kwamba umeji-comit ushuhuda kwa mod.
   
Loading...