Hawa TIGO jamani...

Magwero

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
243
75
Tangu kumekucha na baada ya kujiunga na moja ya uduma zao ya xtrem(mia zaidi)..
Mpaka muda huu nimejaribu kiasi sms zingekuwa zinaenda basi sasa hiv salio langu la sms lingekuwa linasoma 1 au sufuri,ila ajabu ya TIGO sasa a.k.a mtando wa magumashi.. Nina text 95 ..!!
Network inazingua sio kitoto..
Ila kama unaweza kuwafikishia TIGO ujumbe waambie..
Njia za kuwakumbatia wateja ni Mbili kuu,,
1/kupunguza gharama za uduma kwa wateja..
2/kuongeza ubora wa uduma inayotoa..
Sasa waambie tena mim mwenyewe nataka kuhama rasmi...

Wanabooa..
 
Mh!nahisi huu ujumbe hauendani na jukwaa hili,lakini sitaki kuwa msemaji mkuu,ngoja waje wanaojua kiswahili vizuri!
 
Hii ni Biashara wala hii forum haiwezi kuruhusu kuchamba wenzio wewe kama ni Airtel oungea yakwako na kama M-pesa hivyo hivyo wacha mambo ya kutangaza kukuponda wenzako ,wapo wanayopenda tigo.
 
Mh!nahisi huu ujumbe hauendani na jukwaa hili,lakini sitaki kuwa msemaji mkuu,ngoja waje wanaojua kiswahili vizuri!

kwa kuwa wengine ni wageni kwenye huu mji wa JF,unaonaje ukiomba kazi JF,thn wew ndo utakua mtu wa moja kusoma hizi jumbe alafu uzitupie zinapotakiwa...
Eti dada..?!unaonaje..
Laptop yangu haina backspace,so hapo kwny dada weka mkato ongezea kaka..
 
Back
Top Bottom