Wachimbaji wengi wadogo miaka nenda rudi wawe wachimba Tanzanite mererani au dhahabu popote wamekuwa hawalipi kodi kwa kisingizio kuwa hawapati kitu wakati pembeni wanatamba wanapata...
WanabodiTunapenda kujua the comparison and contrast between these twotwo guys kafulila and hamadi Rashidi,kama tunavyojua hawajamaa walipelekabarua ya kubadilisha kanuni za bunge kuhusu kambi...
Ndugu wana JF,
MKAGUZI na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema ripoti ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ipo katika hatua za mwisho na ifikapo mwishoni mwa mwezi...
Serikali kwa mara nyingine imevifungia vituo vinne vya mafuta jijini Dar es Salaam kuuza Petrol baada ya kukiuka bei elekezi zilizotolewa kwa madai kuwa ni ndogo. Vituo vilivyofungiwa ni GBP...
KUMBE WAZIRI NYALANDU ANAWACHEZEA WATOTO WA SINGIDA KIASI HIKI????????
ukisoma makala ya leo katika gazeti la leo la dira ya mtanzania limeonyesha jinsi mbunge wa jimbo la singida kaskazini...
Baada ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam bwana Meck sadick kuwataka wale wanao ishi mabondeni kuhama, Tanesco na dawasco wameamua kuwakatia umeme na maji wale wanao ishi mabondeni ili wahame. na...
Niliangalia kipindi cha Mch. Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako au "Transfoma" katika Channel Ten siku ya jumatano 28/12/2011. Niliogopa sana aliposema ananguvu kuliko wingu la mvua...
POLISI KATIKA TUHUMA ZA UPOTEVU WA $50,000 ATOWEKA
Tarehe 21 Disemba 2011, gazetini HabariLeo ilichapishwa habari kuwa kiasi cha fedha za Marekani 50,000 (Sh milioni 90) zilizopatikana kwa...
Ndugu wapendwa ktkt bwana
wakati waumini wa makanisa mbali mbali wakiangaika kutafuta nauli za kwenda ibadani..,mtume na nabii mwingira amekuwa akiombwa kununua usafiri kwa ajili ya watumishi...
Naomba kupitia jukwa (jf ) kumbusha mbunge na diwani wangu juu ya ahadi zao ukuachana na ahadi za mh Rais (jk) kwa kuzingatia kuwa zilikuwa za kitaifa zaidi na za jumla jumla.
Mimi ni mkazi wa...
Tuko safarini kwenda Tanga, tumefika Ruvu bonge ya foleni. Eti kuna ajali ilitokea jana usiku eneo la Vigwaza. Inachukua muda gani kuclear njia hasa kwa barabara muhimu kiuchumi kama hii?
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC...
Wana JF nimesituka na kusikitishwa na Kauli ya Prof Mwanandosya kudai Tanzania inaongoza barani Africa kwa kupeleka wanaanchi wake India Kwa matibabu. Prof hakiushia hapo, kataka Watanzania...
Ngariba wa miaka 70, mkazi wa kijiji cha Irienyi Kinesi, wilayani Rorya, mkoa wa Mara, Nyaisanga Marwa, amekamatwa na Polisi na anatarajia kufikishwa mahakamni kujibu mashitaka ya kumkeketa...
Napata mashaka makubwa sana kama hii katiba mpya tunayoililia itaweza kua na mabadiriko makubwa katika ulimwengu wa siasa tukiacha mabadiriko yatakayokua katika nyanja zingine kama za kiuchumi na...
Kuna uwezekano mkubwa vijana wengi kutokuanza kidato cha 1 mwakani.Serikali ya magamba mfano wilayani kasulu hali ni korofi kwaajili ya vijana wetu.baadhi ya viongozi na wataalam malengo...
...Muhariri wa gazeti la Tazania Daima amejitoa kwenye kamati ya kutafuta vazi la taifa iliyokuwa imechaguliwa na waziri Imanuel Nchimbi...sababu alizotoa ni kuonyesha kutokubaliana na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.