wasiwasi mwabumabulambo na kayanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasiwasi mwabumabulambo na kayanda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Dec 29, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ee bana nyie jamaa mnamwaribia sana kibonde'yaani kibonde ni mzoefu kwenye hiyo kazi halafu ana kipaji cha kuongea'sasa nyie vilaza wawili mnaharibu kila kitu'sijui nini maana ya nyie kuruhusiwa kufanya kazi na mtu kama kibonde'ovyo sana
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Wapigie simu
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Nipe no zao mkuu tafadhali sana
   
Loading...