Serengeti tawi la Mwanza wazindua bia mpya ijulikanayo kwa jina la...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serengeti tawi la Mwanza wazindua bia mpya ijulikanayo kwa jina la......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Dec 28, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Serengeti kupitia tawi lake la mwanza limezindua bia ijulikanayo kwa jina la SENETOR yenye alcohol 6% ambayo ni mahususi kwa watu wa kipato cha chini. So walevi wenzangu tunafunga na kufungua mwaka kwa cheap bear

  source TBC1
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  naona wanataka kutukumbushia mambo ya bingwa sasa.....
   
 3. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nadhani wametaka kuwakonga watu wa mpakani na Uganda maana hata Uganda wanayo hiyo bia. Sikumbuki % alcohol yake.
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  lazima hapo uta-shine!
   
 5. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umaskin utatuua, iyo alcohol tu, halaf kwa kuwapa moyo imepewa jina zuuri "SENETOR" nataman maskin wote wangekua wasabato!
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  inafikia mziki wa Bavaria 8.6 ambayo ni dedicated kwa 'Wanaume wa Shoka'...
   
 7. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  huko mtaani lazima wataipa jina la OBAMA tu coz he was SENETOR
   
Loading...