Ni kwa muda mrefu sasa jeshi la polisi limekuwa likiandamwa na kasfa ya rushwa. Katika siku hizi chache za sikukuu nimeshuhudia jinsi wanavyoidai kwa nguvu tena bila woga wala aibu. Kwa chombo...
Picha ya 1
Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Arusha Joyce Mukya (Chadema), kushoto, akikabidhi zawadi kwa mwakilishi wa kituo cha watoto yatima cha Medical Daughters of Mary Saint Joseph Health...
Jamani naombeni mwenye kumbukumbu,mwaka jana Tigo walitoa namba kupitia sms kuwa kutafuta kazi kwa mtandao wa tigo andika neno KAZI nafasi AINA YA KAZI halafu tuma kwenda namba....... nimeisahau...
Wakuu, kuna hii site ya Britishpathe, ambayo unaweza kusearch lots if videos that are historical, mostly under the British empire rule...Kuna video ambazo hazina sauti, hata hivyo ujumbe bado...
Hapa moshi mjini, nimezunguka vituo vya GAPCO, NGILOI Petrol station, BP Petroleum nimekosa PETROL,nimekuta kibandiko kwenye shell husika kikisomeka hivi " NO PETROL" hali ni mbaya kabisa. Tatizo...
Ndg zangu Tanzania tuliyokuwa tukijisikia fahari kuwa nayo sio ya sasa, shida zimekuwa nyingi kiasi kwamba sasa siwezi kuona fahari tena kuitwa Mtanzania. Killa kitu ni siasa tu, tuliambiwa tunayo...
WanaJF wenzangu habari za mida hii,Samahani naombeni kufahamishwa ni ajari gani mbaya zaidi ya barabarani iliyotokea kwa mwaka huu wa 2011?.tafadhalini nisaidieni maana nahitaji kuweka ktk...
Kuna taarifa imetolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa kuwa watu wawe na tahadhari kwani kuna uwezekano wa kunyesha mvua kubwa sana kama ilivyotokea hv majuzi.
Mvua hizo zitaathiri mikoa ya Dar es...
wale waliosema kuwa fundo moja tu la pombe litakupeleka kuzimu hawakuwa wakidanganya,kwani unaweza jionea ktk picha chini jinzi fundo moja tu la pombe ya Mpunga ilivyompeleka mlevi kuzimu
Wadau nimevumilia nimechoka, kuna miezi inayofikia minne hali ya ulipwaji wa mishahara hapa SUA si nzuri, mishahara hulipwa tarehe 30, 31, 1, 2 nk, na kila kabla mishahara kulipwa lazima itolewe...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwapokea wageni wake wa mradi wa mchuchuma na Liganga kutoka China ambao wamekuja kuanza kazi katika wilaya hiyo. Hii ni ndoto ya siku nyingi ya wakazi...
Taarifa za kiitelinjisisia nilizozipata jana ya kwamba watu waliokuwa wapangaji nyumba za jagwani wanandaa maandamano ya kupinga tamko la mkuu wa mkoa said mech said ya kwamba waliopanga nyumba...
kwa wale wanaoweza kupata tv za kenya angalieni wnzetu wanavyo tangaza matokeo yao wanavyoyapa umuhimu kama tz walivyoadhimisha miaka 50 ya uhuru kweli kenya wako serious sisi huku tunakurupuka
.......NUKUU..........Hii style yenu ya "peoples power.. peoples power" inatunyima usingizi na serekali inashindwa kufanya na kupanga miradi ya maendeleo kila siku tunawaza "peoples power...
JAPO nigarama sana .....yaweza hata kugarimu damu ya watanzania LAKINI ili KUTHUBUTU TUWEZE NA TUSONGE MBELE .....nilazima TUPATE katiba mpya .....itakayo tokana na wananchi wa TANZANIA kwasasa...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali(Mst) Joseph Simbakalia ametunukiwa Nishani na Papa Benedict XVI baada ya kuteuliwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa ndiye Mlei bora kabisa kwa mwaka huu 2011...
Photo: Tony Fouhse/IDRC
UN researcher slams ‘racist' Oslo police
A Ugandan UN climate researcher has "reluctantly" accepted an apology from Oslo police after he was...
Wasalaam wana JF!
Kwa muda sasa kumekuwa na msukumo mkubwa wa kujaribu kulinganisha juu ya yupi miongoni ya viongozi wa CCM
ana "uafadhali" katika ugombea wa urais mwaka 2015.Wengi wametajwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.