TLP yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TLP yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bitabo, Dec 28, 2011.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mh. Lyatonga Mrema na TLP yake wametoa mifuko 25 ya unga kwa waathirika wa mafuriko. Tunamshukuru mzee wa Vunjo
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsanteni sana tlp kwa mchango wenu. Kwani mifuko 25 ya unga ni sawa ni tshs. 250,000/= kama ni mifuko ya kilo 10 na tshs tsh 125,000/= kama ni ile mifuko ya kilo 5.
   
 3. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kutoa ni moyo! tukumbuke sadaka ya mama mjane kwenye bibilia.
   
 4. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hawa nao wapo au ndio kujitutumua kwenyewe huko ili nao angalau wasikike Chadema chama kubwa na wanastrategy kali mliona wenyewe kwenye katiba walipoenda ikulu wengine walifuata.Nape alipotoa millioni nne alitoa mabango kibao Mbowe alipotoa mil 25 wakawa wapole
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hongera sn tlp
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mchango wakati wa shinda ni mhimu na sio majungu wakati wengine wana wakati mgumu
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aaaaaahhhhhhhhh,aaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhh,eeebwana eeeeeehhhhh.Mzee wa vunjo hapo atazidi kukomaa posho ziongezwe
   
Loading...