Mtaji wa CCM uliosaidia watawale watanzania miaka zaidi ya 50, na kuendelea huu hapa

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
Huu ndio mtaji wa ccm ambao umewasadia kuwa wa win watanzania na kuendelea kuwatawala zaidi ya miaka 50 sasa
1. Uwoga wa Watanzania. Wameweza kuwapumbaza watanzania kwa philosophia ya amani. wakati wa uchaguzi huwa wanatangaza hali ya hatari na vita kwa watanzania ili waogope kuchangua viongozi waliopo nje ya mfumo wa ccm.

Jeshi huwa linaandaliwa vizuri na hata kuongozewa mishahara na marurupu mengine ili hali watafute njia ya kuwatisha watanzania ili waogope. Mfano ni wakati wa Gen. Mahita na mwaka jana Gen. shimbo.

2. Umasakini wa Watanzania. Kina mama/vijana wengi vijijini ni maskini. hawana uwezo wa kununua kanga, mitandio, na t-shets kwa ajili yao. kwa hiyo ccm hukwapua hela nyingi sherikali kwa ajili ya kuonga na kuwavalisha nguo kwa rushwa ya kuwanunua

4. Wizi wa Kura. Uchaguzi tanzania ni Kiini macho ili jumuia ya kimataifa ione angalao kuna uchaguzi. Kazi kubwa waliyopewa usalama wa taifa ni kuhakikisha ccm inashindwa kwa vizi wa aina yeyote. Usalama wa taifa ujipachika kila kitengo na kazi za tume ya uchaguzi ili waweze kufanikisha hili zoezi. lakini pia hupewa hela ngingi sana zinazochotwa serikalini kwa wizi mfano TRA, Tanroads, etc

6. Ujinga wa Watanzania. Watanzania wengi ni hawajelimika, wengi ni watafutaji wa mlo wa leo, hata kama wamesoma. Wengi hawana vision for this nation, and have no partrotism. akipewa bia leo hawafikiri ya kesho.

Je ni mikakati gani ya kupambana na uwoga na ujinga wa Watanzania?
 
tunahitaji mapinduzi kwa nyuzi 360 na kwa hakika mapinduzi ya ukweli huwakomboa the oppressor na oppressed
 
Your beating around the bush in your points. Kiini kikuu cha CCM kuwepo madarakani ni tabaka la wahindi na waarabu ambalo Nyerere alikataa kuliondoa tangu Uhuru, tofauti kabisa na nchi kama Uganda na Kenya zilivyofanya. Tabaka ndilo linatutesa mpaka leo. Ni tabaka la kusaliti kila jambo na ndilo pia huwa linatoa hizo fedha ambazo CCM wanunua kanga vijijini. In fact hilo ndilo linahodhi fedha za Tanzania katika nyanja zote, kwanzia biashara ya mafuta, vipuli, mpaka intensive agriculture.
 
Inaweza kuwa kweli kwasababu toka wahindi hao walivyofanya biashara matrekta sijasikia tena kampeni za kilimo kwanza na kama zipo ni za kuwahimiza wananchi wanunue matrekta. sehemu nyingi za big 5 vocha za pembejeo hazipo, bei ziko juu wananchi wanajikamua serikali iko kimya inasubiri mavuno ipange bei ili wafanyabiashara wakubwa wanunue kwa bei rahisi. Bidhaa za viwandani soko linapanga bei lakini mazao ya kilimo serikali inapanga bei? Ni ukoloni uleule hatuwezi kuendelea. tunahitaji utawala mbadala.
 
Back
Top Bottom