Ile barabara iliyokuwa ikijengwa Jangwani imesalimika?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,219
79,507
Ni kiji-swali tu vp kuhusu ule mradi wa barabara kuunganisha barabara ya Yanga na Kigogo, ningependa kujua kama imesalimika na kama imezombwa na maji tujiulize uhandisi wetu unatupeleka wapi? na nani anapaswa kuwajibika na hasara itokanayo na kampuni isiyo na stadi kujenga barabara iliyosombwa na maji!
 
Na mimi napenda kujua ukweli kuhusu hiyo barabara. Imesalimika? Hasara kiasi gani imepatikana au ndo shamba la Bibi?
 
Back
Top Bottom