Chanel 10 inaboa mitambo yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chanel 10 inaboa mitambo yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by All TRUTH, Dec 28, 2011.

 1. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Yani toka mafuliko yatokee chanel ten inanzingua sana kwasisi tunao tumia satelite au nao wame adhilika nini? Basi walekebishe tunawaomba
   
 2. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Mimi huwa nairuka kwenye selection list maana najua jinsi inavyosumbua.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kwangu kwanza haishiki kabisa!nlishaanza isahau kabisa
   
 4. KIVURUGA

  KIVURUGA Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  washafulia, mi nina mwezi sasa imekata.
   
 5. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Sio chanel 10 tu hata zote za IPP MEDIA hazipatikani hewani tatizo waliingia mkataba wa kijinga sana kuwa mawimbi yao yawe yanapatikana kwenye dish za ft8 tu na ndio maana ukitumia dish za ft8 unawapata bila tatizo lolote kama unatumia dish la ft6 hiyo imekula kwako.
   
 6. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hiyo IPP hata kwenye ft8 nayo isha anza kuzingua, Mamlaka ya mawasiliano sijui wanafanya kazi gani, mi nahisi kuna tatizo coz, startv walichomoka ila wamerudi mbona tv za Kenya hazizingui, mi nahasira na Mamlaka ya mawasiliano hadi basi. coz, mi sijui kazi yao ni ipi hasa kama Chanel zinazingua na hakuna wanacho tuambia
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,987
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata km wanafanya biashara,yaani wanashindwa kuwa hewani.mfano huku KIGOMA ni STARTV lkn TV ya magambo hovyo.Ndiyo digital au upupu tu utuwashe dail
   
Loading...