Tanzania si ya muhimu wala ya maana.

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Waziri Barak alifanya mahojiano na Radio Israel na kutoa kauli ambayo imenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari vya nchi hiyo wiki iliyopita kuwa

“ Germany, France and England are not Tanzania, Mauritania or Tripolitania…..these are very important, very relevant countries and we don’t have an interest in increasing tensions with them or making them bitter enemies”.

hii ni kutoka kwa Mh. JOHN MNYIKA BLOG

Wana JF
Inamaana Tanzania ile ya Mwal Nyerere iliyokuwa ikiheshimika leo inadharaulika namna hii?

Hapana Viongozi wetu wachukue hatua za haraka,hatuwezi kukubari dharau hizi.
 
Hao viongozi wako omba omba watachukua hatua gani za haraka na ili iweje? IT WILL TAKE ANOTHER GENERATION TO REPAIR THE DAMAGE THE KIKWETE LEADERSHIP HAS INFLICTED THIS COUNTRY!
 
Hao viongozi wako omba omba watachukua hatua gani za haraka na ili iweje? IT WILL TAKE ANOTHER GENERATION TO REPAIR THE DAMAGE THE KIKWETE LEADERSHIP HAS INFLICTED THIS COUNTRY!

mbona tunakata tamaa mapema sana juu ya viongozi wetu? nadhani tuzidi kupiga kelele masikioni mwao wataelewatu nini tunataka
 
viongozi wetu butu katika utendaji walichoweza kufanya ni kupanda mbegu za uomba omba na nchi kudharaulika kwa kiwango kikubwa mnoo..nani ataiheshimu tanzania hii inanuka rushwa, ufiasdi na uonevu.
 
viongozi wetu butu katika utendaji walichoweza kufanya ni kupanda mbegu za uomba omba na nchi kudharaulika kwa kiwango kikubwa mnoo..nani ataiheshimu tanzania hii inanuka rushwa, ufiasdi na uonevu.

kwa hiyo mkuu unataka kuniambia kuwa,dharau hizi ni kwa sababu Tanzania imekuwa ni nchi ya kuombaomba?
 
Back
Top Bottom