Ajali ubungo mataa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ubungo mataa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Consigliere, Dec 29, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,069
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  Kuna ajali imetokea muda si mrefu maeneo ya ubungo mataa, ambapo semitrela amelaa barabarani baada ya kutokea hitilafu au dereva kushindwa kulimudu gari hilo.
  Taarifa zaidi za kiuchunguzi na kiufundi kutolewa na askari wa usalama barabarani, kwani wapo eneo la tukio wakiendelea na uchunguzi.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Damu vp haijamwagika?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Du, na hii foleni ambayo saa hizi imefika External kwenye hii barabara ya Mandela, tutafika home kweli leo!!!!!
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du kwanini ajali zanakuwa nyingi wakati huu wa skukuu na mwisho wa mwaka?
   
 5. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  utafika tu....mvumilivu hula mbivu, kawia ufike, haraka haraka haina baraka!!!!
   
 6. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  b'se watu wana haraka ya kwenda akhera madukani, wanaona muda unachelewa kwa hiyo wanaamua kujiwahisha wenyewe au wewe unaonaje???
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  shetani yupo kazini mkuu
   
 8. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Kawaida tu hapo.
   
 9. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Habari haijitoshelezi tupe picha kamili mkuu
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  imelalia upande gani? upande wa magari yanayotoka mjini au magari yanayoenda mjini? ova
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa maana nipo kwenye foleni kwa saa zima sasa
   
 12. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Sahz foleni ipo tabata relini mungu saidia sijui nitatoboza saa ngapi ubumgo.
   
Loading...