Baloteli afunga bar aletewa bili ya million 2.4 ;yeye anywa juice na kukimbikia mkesha xmass | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baloteli afunga bar aletewa bili ya million 2.4 ;yeye anywa juice na kukimbikia mkesha xmass

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Kweli shetani akiamua kukutumia ni shida
  mchezaji wetu wa vituko xmass amefunga mtaanakuwahudumia watu kwenye bar kwa kuwanywesha
  bia ambazo baada ya mwenye bar kumwambia bia zimeisha anaomba aletewe bili akaletewe million 2.4
  akakatoa kakadi chake kakafyonza akaondoka kuwahi mkesha
  alipoulizwa kwa nini akunywa beer alisema mi nawah kusali bana
  wacha walevi wafe na pombe zao
  je umejiuliza na wewe umenyweshwa bia ngapi na aliekunywesha amekimbilia kanisani kusali
  embu fungueni macho absi hata 2012 iwe mwaka wa kuomba ufhamu tu miezi 3 ya mwanzo omba mungu akupe ufahamu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Jiulize we si umeeeeelewa
  happynew yr angalia usilewe wakavua pochi mpwa
   
 3. d

  denim kagaika JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha..ha..ha..You just can't tell what he will do next...Super Mario,Super Spontaneous...
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,315
  Trophy Points: 280
  Tupia link kama vipi!
   
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  hivi kuna point ya kuwasaidia watu walewe?maan huko ni kutenda dhambi halafu u unaenda kusal?me naona huyu ametwanga maji kwenye kinu!
   
Loading...