Waziri nchimbi ni mnafiki anantafuta kwa kunimaliza -mhariri tanzania daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri nchimbi ni mnafiki anantafuta kwa kunimaliza -mhariri tanzania daima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Mhariri wa tanzania daima amabe anahusishwa na kesi ya jinai bwa absalom kibanda amesema
  wapo watu wanamtafuta wammalize kisa kuwa karibu na lowasaa
  akuishi hayo akasema pamoja na kutaka kunimaliza akuna atakeukamata uraisi kupitia jinalangu
  kibanda ambae ni mhariri wa tanzania daima amesema hajawahi kuchukua hata shillingi moja ya
  lowassa na hatofanya hivyo kwa maadili aliyonayo...kibanda aacha mchezo na ngawira..

  Kibanda akafika mbali akasema ameamua kuweka wazi na leo hii anaomba kuwajulisha waandishi amejitoa kwenye kamati ya kutafuta vazi la taifa..akasema serikali imekuwa ikimtafuta sana sana sasa imeamua kumtumia mh waziri nchimbi kunimaliza kama mwakyembe nasema hili awatonipata...naomba mkitoka hapa mkamjuze mh nchimbi sina muda wa kukaa na wanafiki wanaonitafuta na kwamba kazi yake aina muda kukaa kutafuta vazi lataifa

  bw kibanda akuishia hapo akasema akasema anakusudia kujitoa kwenye kampuni ya tanzania daima ingawa akueleza sababu halisi ..inasemekana amekasirishwa na jinsi gazeti hili na uongozi ukivyochukulia kesi yake ajawahi kuulizwa hata inaendeleaje mbaya zaiidi akuna aliefika hata kunijuliza kesi inaendeleaje
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh,yamekuwa hayo tena,

  nadhani hii nafasi ya Uraisi itakuja na mambo mengi sana,watu watapoteza kazi,uhai na mengine mengi tu,

  sisi yetu macho na masikio,ngoja tuone mwisho wake

  lakini Jamaa alisha andika barua ya kujitoa ktk ujumbe wa kutafuta vazi la Taifa
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  src
  dira ya mtanzania
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama wamemstukia kuwa ni crony wa Lowassa itabidi atoke Tanzania Daima upesi iwezekanavyo na nafasi yake kuzibwa mara moja na wazalendo wa kweli!!
   
Loading...