Mandela rd:taa za trafiki zitawashwa lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mandela rd:taa za trafiki zitawashwa lini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kintiku, Dec 29, 2011.

 1. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 567
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Ni muda mrefu sana tangu zifungwe, barabara ilishapokelewa lakini cha ajabu hadi leo taa bado hazijwashwa. Kuna tatizo gani au zitawashwa wakati wakati wa uchaguzi wa CCM mwakani?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  hizo taa sijui wameweka kupamba barabara!
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,106
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Zimewekwa kuwadanganya waliotoa msaada.
   
Loading...