Waathirika wa Mafuriko Dar na Njaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waathirika wa Mafuriko Dar na Njaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfamaji, Dec 29, 2011.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Niliona na kusikia tbc eti vyombo vya kupikia chakula ni vidogo hivyo kulazimika kupika kwa zamu kwa chombo. Watu wanashinda na njaa.Hivi jamani hata magudulia ya kupikia tumekosa? Aibu aibu
   
Loading...