Hivi kweli Tanzania inahitaji kuombea au kuambiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kweli Tanzania inahitaji kuombea au kuambiwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 29, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ninapoandika kuna kundi la matapeli wa majoho wanaoandaa tamasha eti la kuombea taifa! Hivi Tanzania inahitaji kuombewa au kuambiwa ukweli mchungu hasa kupambana na vikwazo vinavyoifanya iwe shamba la bibi na ombaomba duniani? Kwanini kuomba badala ya kuyakabili matatizo ya kweli yaani ujinga, umaskini, rushwa, ufisadi, usanii, ukondoo, ukijiko, ukuku na adha nyingine? Naomba kutoa hoja.
   
 2. s

  sugi JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  inahitaji kujambiwa...!
   
Loading...