Kiroroma JF-Expert Member Feb 6, 2009 370 114 Dec 29, 2011 #1 Ajali ya semi trailer imetokea junction ya ubungo. Majeruhi kadhaa Kwenye Eneolla tulkio
Msarendo JF-Expert Member Jan 29, 2011 10,477 6,428 Dec 29, 2011 #2 Mbona kawida watu kuchinjwa hapo ubungo kwenye mataa.
Mangimeli JF-Expert Member Sep 15, 2011 1,151 286 Dec 29, 2011 #3 Da poleni sana mi nimegeuka,nlikua natokea tabata,nlipo fika relini ikabidi ngeuke npite kigogo du poleni saana wadau,majerui vp?
Da poleni sana mi nimegeuka,nlikua natokea tabata,nlipo fika relini ikabidi ngeuke npite kigogo du poleni saana wadau,majerui vp?
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Dec 29, 2011 #4 Plus ubungo xterno Msarendo said: Mbona kawida watu kuchinjwa hapo ubungo kwenye mataa. Click to expand...
Plus ubungo xterno Msarendo said: Mbona kawida watu kuchinjwa hapo ubungo kwenye mataa. Click to expand...