Polisi tumedhulumia posho za tamasha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi tumedhulumia posho za tamasha!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MR. DRY, Dec 28, 2011.

 1. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Sisi polisi wa kituo cha oysterbay tunasikitishwa uongozi wa polisi kimkoa kinondoni kwa kutudhulumu posho zetu za ulinzi wa tamasha la novemba 26 pale leaders club.

  Katika tamasha hilo lililohudhuriwa na msanii fabolous kutoka marekani, polisi tuliahidiwa kulipwa Tshs. 15,000/= kwa kila mmoja.

  Tumefuatilia kwa waandaaji wa tamasha tukaambiwa kuwa fedha zimeshatumwa kwa uongozi wa polisi kinondoni.

  Inakuwa vigimu kufuatilia moja kwa moja kwa kamanda wa polisi mkoani hapa kutokana na taratibu za kijeshi, lakini tunajua hii ni haki yetu.

  SIYO MARA YA KWANZA KUDHULUMIWA FEDHA KWENYE OPERESHENI KAMA HIZI, MARA KWA MARA VIONGOZI NDIYO WAMEKUWA WAKIJIPENDELEA POSHO ZA ASKARI WANAOTESEKA NA KAZI, IMEFIKA MAHALI SASA TUMECHOKA.

  Tunaomba uongozi wa polisi makao makuu itusaidie askari tunaofanya kazi huku wengine wakifaidi jasho letu.

  Source: BARUA YA POLISI OYSTERBAY, DAR
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Chagueni moja kuwaunga mkono wananchi au mijizi mibosi ya maafande, tambueni na kuheshimu harakati za kudai haki popote tz.
   
 3. k

  kajunju JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Acha wawadhurumu.nyie vijana wadogo ndio mmeacha mama zenu vjijin wanateseka.mkipewa ajira basi mnawanyanyasa ndugu zenu.wanasiasa wakisema uongo nyie mnawashambulia kwa marungu.kumbuka nyie madogo<mapongo> ndiyo mnathhbitishwa kazin baada ya miaka 12.kufukuza kwenu ni ndan ya siku 2 kibarua hauna.mko tayari kwa mabadiriko?mmesoma makala ya 'kalamu ya mwigamba' had sasa mmempeleka mahakamani kwa kusema ukweli? Akili za kuambiwa changanya na zenu! Pole!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  miafande ya kitanzania inasikitisha sana ya endelee kudhulumiwa hivyo hivyo kwa kuwa huwa hayana utu hata kidogo...

  RIP EDDY Clux.
   
 5. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  boys dont cry, you have guns in your hands and hatrage in your hearts Take action...NOW!
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nimefurahi kusikia mmezulimiwa Posho zenu na Mafisadi ambao sisi wananchi tunawapinga kwa nguvu zote nyinyi ndio mmmekuwa vibaraka wa Mafisadi na kuwalinda. Nenda kalalamike kwa mabosi wenu pumbafuuu nyie mnatupiga mabomu na kutumwagia maji ya kuwasha. Tunapopigania haki zetu pia tunakuteteeni na nyinyi. Mkinyimwa Posho au Mishahara sisi hayatuhusu, mtajuana na mafisadi wenu huko huko. Pumbafu nyie vibaraka wa Mafisadi, na mtalala sana kwenye nyumba za mabati kama hamtobadilika tabia zenu za kutumiwa na Mafisadi kupiga wananchi
   
 7. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  posho 15,000/- tu kwa siku???.............................. halafu masikini ya Mungu hata hamkuipata!!!!............... teh teh...................... mlisikia habari toka dodoma??.......................
   
 8. k

  kajunju JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Naisi mtajifunza.haya ni maoni ya watz kuhusu nyinyi. Anza harakati za kuelimishana kuhusu haki zenu,haki za raia. Mkijua haya ukomboz wa kweli tz tutaupata.msifurahie sehemu kunapotokea mgomo/maandamano eti mkitumwa mnaenda kuiba pesa,tv, radio. Unamuibia mlala hoi ambaye ni choka mbaya kama wewe. Jipange kwa 2015 ili tulete mabadiriko ya kweli
   
 9. s

  sugi JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  heee,polisi?kwanza umefuta nn huku?tumia maji washa,utapewa posho yako!
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  bora wamedhulumiwa ili wajue uchungu wa kuongozwa na mafisadi
  osterbay nao wamezidi kwa rushwa nawashangaa kulalama hicho kidogo wkt kwa siku wanatengeneza sio chini ya laki
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkome kabisa mwendawazimu wee unatia huruma hapa.
  Mnaomba huruma kwa wananchi hakuna hakuwa saidia hata kwa ushauri wa neno.
  Na wewe bora wakutimue tuu inaonekana una element za kiusaliti.
  Ndiyo afande naona imeanza kukutoka mawazo ya haki,uzalendo na kujitambua vimeanza kukujia so hautakiwi usaliti ushakuingia.

  Nyie mabwege sana na mtakula jeuri yenu kenge nyie.Si mmezoea kuwatandika marungu,mabom,risasi na maji ya kuwasha raia pindi wadaipo haki zao.???
  Nabado Mr DRY teh teh teh teh teh teh teh
   
 12. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chukua bomu la mkono kalipue hapo osterbay unasubiri nini?
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nyinyi kenge kabisa nyinti. mnadhani tumesahau jinsi mnavyowatumikia kafiri leo ndo umeona uchungu wa dhuluma, tangu lini. Mmeshasahau mlivyomdhalilisha yule dada pale chuo kikuu, polisi tisa dhidi ya mwanamke mmoja. Na bado mpaka mtie adabu na tabia yenu ya kuwatumikia mafisadi
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  nendeni shule mkakataa sasa unalalama nini humu? kama vipi chukua smg watandikeni hao wezi wenzenu
   
 15. K

  Kibubumo Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swaaafi
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,616
  Trophy Points: 280
  nyie polisi wa oysterbay hamna haki ya kula hela yote hiyo peke yenu. wenzenu wa kurasini wanalipwa kabla ya kazi na wakiwalazimisha kwenda wanaenda halafu wankuwa wanaruhusu watu kuingia kwa nusu bei hadi watakapopata hela ya kutosha. wewe una kisu yaani umebeba hadi mabomu ya machozi lakini bado unalala njaa. wanakuliwazeni na kauli mbiu UTII BILA SHURUTI. poleni sana na hiyo hela ndo hampati mtaambiwa wataiunganisha kwenye hela ya likizo ya 2012 siku ya parade na nyie mtaitikia NDIYO AFANDE.Mia
   
 17. O

  One tsh. Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashauri busara itumike katika hili,inawezekana kabisa huyu ni kati ya wale waliouelewa waraka wa Mwigamba sasa anaanza kuufanyia kazi,atiwe moyo badala ya kebehi.
  Mi nahisi tukiwakaribisha hawa jamaa vizuri jamvin tutapata mengi sana yanayowahusu,mi naamini si wote hupiga wananchi kwa kupenda bali nahisi ni nature ya kazi[NDIO AFANDE KWA KILA JAMBO]
  Pia sio kweli kwamba wote hawakwenda shule hapana,nilisikitika sana siku moja ktk pitapita zangu nilimuona jamaa yangu mmoja ana degree akiwa analinda benki.
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Tena nyie wa Oysterbay ndio wa hovyo kabsa,mumezidi uzulumati,wacha mchinjiliwe baharini na hao wakubwa wenu,hiyo 15,000 ndio unakuja kutujazia jukwaa ,mumezoea ndio maana mnakula rusha hata ya sh 500 .kawang'ang'anie vibosile wenu kama vile mnavyowang'ang'ania raia uswazi,mumezoe sana mtelemko nyie msio na soni,nimefurahi kuwa hiyo imekula kwenu
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  Afadhali wamewadhulumu, na hata endeleeni hivyo hivyo msiwape
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hebu vuteni kumbukumbu jins mnavyotupigaga risasi na mabomu pale tunapodai haki zetu, HAMNA HAYA NYIE KAZI YA KUTUMIKISHWA KAMA PUNDA NA HAMLIPWI CHA MAANA,
   
Loading...