MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MADHAIFU 180 YA KIMKAKATI CHADEMA:Attack a Person, Not an Institution 1.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kulwa12, Dec 28, 2011.

 1. k

  kulwa12 Senior Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WADAU WENZANGU NA WAPENDA MABADILIKO WA TANZANIA,KUTOKANA NA MAWZO NA UFATILIAJI WA SIASA YA HAPA TANZANIA NA MICHANGO YA WADAU WA JF,NAOMBA NITUMIE UTAALAMU WANGU KAMA"POLITICAL STRATEGIST" KUTOA MADHAIFU 180 YA KITAALAMU AMBAYO CHADEMA WANAYOYAFANYA NA LAZIMA WAYAFANYIE KAZI ILI KUFIKIA LENGO LA KUCHUKUA DOLA.NITATOA DHAIFU 1 KWA KILA MAKALA NITAKAYOTOA.

  (1) MKOSOE/SHAMBULIA MTU NA SIO TAASISI (Attack a Person, Not an Institution)

  NI KOSA KUBWA SANA KWA CHAMA TARAJIWA KINACHOJIANDAA KUCHUKUA DOLA VIONGOZI WAKE AU SERA ZAKE KUSHAMBULIA TAASISI MOJA KWA MOJA NA KWA UJUMLA WAKE

  .KWANI TUKUMBUKE KATIKA TAASISI NYINGI WATU WENGI NI WANYONGE NA WANAKANDAMIZWA NA WANAVUMILIA UONEVU MWINGI WA KIMASIRAHI,SASA WEWE UKITUMIA MUDA MWINGI KUONESHA TAASISI YOTE NI MABAYA BILA KUJALI AU KUONGELEA TABAKA KADAMIZWA NDANI YA TAASISI HIYO,HILI HALITAKUAIDI CHOCHOTE KATIKA MAENDELEAO YA CHAMA KWA UJUMLA WAKE.

  KAMA TASISI INAMAPUNGUFU,SEMA NANI/KINANANI ANAMAPUNGUFU NDANI YA TASISIS ILE,WEWE UTAFANYA NINI KUIBORESHA.TUNAKUMBUKA WOTE WAKATI WA KAMPENI NA KATIKA YANDA MBALIMABLI VIONGOZI WETU WAMEKUA WAKISHAMBURIA TASISI MBALIMBALI KWA UJUMELA WAKE MFANO KIONGOZI WETU MMOJA ALIWAHI KUSEMA "NITAIVUNJA TAASISI HII NIKIINGIA TU MADARAKANI"
   
 2. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  haina mashiko.weka hapa kila kitu then watu wachambue.Acha bla bla....
   
 3. U

  Uwilingiyimana Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli hizi ni blah blah! Mtu mwenye akili kamili haiwezi kukuita political strategist wa ukweli. Yapo mazingira ambayo, inevitably, utashambuli taasisi kwa ujumla wake, na some individuals, hususan decision-makers therein, in particular. Kwa mfano, serikali iliyoko madarakani siku zote, kama taasisi, is subject to (oppisition) criticism. Remedy your thread and come back later, vinginevyo i will start wondering how you will reach the 180th point!
   
Loading...