Heche, Mtatiro na Nape on Star tv tuongee asubuhi

nape ambaye ni katibu mwenezi wa ccm na mtatitiro wa chadema wapo live now star tv tufuatilie mjadala
 
nape ambaye ni katibu mwenezi wa ccm na mtatitiro wa chadema wapo live now star tv tufuatilie mjadala

Mkuu Mtatiro hayupo hapo wapo John Heche(BAVICHA),Nape CCM na kiongozi mmoja kutoka CUF lakn si Mtatiro
 
Kiongozi huyu wa Cuf analia lia tu ati kwamba wao ni walimu wa vyama vya upinzani,huyu nae bomu na cjampata jina lake bado
 
Heche-wananchi ndo wenye mamlaka yote ya nchi hii,so wananchi wapewe sauti katika nchi! Hiyo ndo falsafa ya chadema....
 
Kiongozi huyu wa Cuf analia lia tu ati kwamba wao ni walimu wa vyama vya upinzani,huyu nae bomu na cjampata jina lake bado

Ndiye Abdallah Kambaya huyo. Nafikiri ndiye Mwenyekiti wa ile Kamati ya Maadili na Nidhamu iliyomhoji Hamad Rashid yeye akidai ameikatalia, yenyewe inasema alikubaliana na tuhuma zake 11 alizosomewa.
 
Sipendi namna wanaohojiwa wanavyokimbia maswali. Wanajibu vitu wasivyoulizwa au wanakwepa kwepa au hawajui/hawana majibu. Mtangazaji naye anawaruhusu wazunguke zunguke tu huko. Hao wachambuzi wa Mwanza nao hivyo hivyo, watangazaji tena nao ndiyo hivyo hivyo ni kama vile hawajui topic hasa inapaswa kujadili kitu gani, hasa huyo Mabuga wa Mwanza.
 
Back
Top Bottom