Foleni Ruvu

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Tuko safarini kwenda Tanga, tumefika Ruvu bonge ya foleni. Eti kuna ajali ilitokea jana usiku eneo la Vigwaza. Inachukua muda gani kuclear njia hasa kwa barabara muhimu kiuchumi kama hii?
 
mikoa ya pwani kuna majini mengi ndio maana ajali nyingi na wamiliki wa mabasi wengi ni waarabu na waarabu na majini damdam
 
rudini mpaka kibaha mle boda mtokezee baobab sekondari, mapinga bagamoyo road mpite njia ya mkata, hapo mtalala.
 
mikoa ya pwani kuna majini mengi ndio maana ajali nyingi na wamiliki wa mabasi wengi ni waarabu na waarabu na majini damdam

Kuna watu wengine wajinga kweli hata kama wana digrii zao.

Ndiyo mana Mzee Karume alisema 'tumesoma hatukutambua tumejifunza tumejua'
 
kuna gari kubwa limepinduka limeziba njia


avatar25386_11.gif


Lovely avatar, kisssss
 
Back
Top Bottom