Urais wa JK, katiba na harakati za ushoga... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais wa JK, katiba na harakati za ushoga...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fyddell, Dec 29, 2011.

 1. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Napata mashaka makubwa sana kama hii katiba mpya tunayoililia itaweza kua na mabadiriko makubwa katika ulimwengu wa siasa tukiacha mabadiriko yatakayokua katika nyanja zingine kama za kiuchumi na kijamii. Langu kubwa ni hili; JK ndie mwenye mamlaka ya kuunda tume itakayosimamia shuguri zote za katiba mpya na yeye kama ni boss wa hiyo tume meaning yatakayokusanywa yote na hiyo tume yatapelekwa mezani kwake na kuamua kua hii toa, hili weka na atakapo sign tu ndipo itakapokua sheria mpya kiufupi katiba mpya. Sasa kama JK ni rafiki wakaribu sana na hawa viongozi wa Uingereza na Marekani wanaotutisha kusitisha misaada endapo tutaendelea kukataa kuruhusu shughuri za ushoga nchini. Je hamuoni kua hii katiba mpya JK anaweza kuingiza sheria ya kuruhusu mambo ya ushoga kwa mgongo wa kuheshimu haki zao ili asiharibu urafiki aliojitengenezea na hawa mabwana wa magharibili kwa manufaa yake na ya CCM?
   
 2. h

  heshima nicholaus Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  cdhani yuuuuuu mpumbafu kiasi hicho
   
 3. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Ngoja tusubili tuone maana haya ni mawazo tu ya jinsi mambo yanavyoenda hapa nchini.
   
 4. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  wakati muswaada wa katiba mpya ulipopelekwa bungeni kujadiliwa kulikua hakuna kipengere kilichosema kua 'watakaobainika wakiwafundisha watu au kujadili mchakato wa katiba mpya watashtakiwa na baada ya kupitishwa hiki kipengere kikachomekwa kiaina pasipo wabunge kujua. Sasa je itashindikana vipi Raisi kushindwa kuingiza vipengere vitakavyotambua haki z mashoga ili aufurahishe ulimwengu wa kimataifa/ umoja wa mataifa nasi wananchi hatutaki?
   
 5. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Ulimaanisha JF ndo JK?
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  JF ndo nani mkuu?mods au..?
   
 7. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Sorry for mistyping ni JK/ rais wetu
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  watu wengine bana,umekurupuka na chuki zako asbh asbh umeleta thread haina kichwa wala miguu kiSha unasema JF ndio rais.huu ni uvivu wa kufikiri hata vitu vidogo vidogo huvijui.
   
 9. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Hojatete.. Inawezekana wewe ndo ukawa mvivu wa kufikiri na hii itathibitika pale hiyo mchakato mzima wa katiba mpya utakapokamilika. Kuhusu JF insteady of JK ni human error ambayo hata wewe waweza kuifanya. Sasa nashangaa kwanini unakuja juu kama moto wakifuu. Wewe kama kweli ni greater thinker, you were supposed to come up with your view in a respect to a thread and not conteptuous words. Unajiaibisha..
   
Loading...