Tetesi. Serikali yashindwa kuwapeleka KIDATO I waliofaulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi. Serikali yashindwa kuwapeleka KIDATO I waliofaulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kennedy, Dec 29, 2011.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,289
  Likes Received: 2,957
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano mkubwa vijana wengi kutokuanza kidato cha 1 mwakani.Serikali ya magamba mfano wilayani kasulu hali ni korofi kwaajili ya vijana wetu.baadhi ya viongozi na wataalam malengo waliojiwekea kufaulisha wanafunzi kwa asilimia flan hajafika lkn tatizo madarasa hayajitoshelezi.Viongozi wako kimya zaidi wanafanya sanaa ya kunenesha ng,ombe siku ya mnada!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  E mtama, walaye?, ukiamka uje utujuze vizuri.
   
Loading...