Inategemea na lengo lako. Unaweza kuweka hata picha ya ua,mkono wenye pete,jani,gazeti,sigara.. Kama lengo ni kuuza harakaharaka kava la juu linasaidia hapa kwetu likiwa kati ya picha mojawapo hapo juu. Ila isiwe ya mtu basi,iwe pistol inayotoa moshi..
labda ungetupa summary ya kitabu chako kwani picha husika yaonyesha mtu ana mzigo na silaha kwa hivo yaonyesha ni mtu aneweza kujikinga mwenyewe sasa kifo kitmafikaje iwapo mtu una silaha?si anaweza kuwauwa adui zake? labda nimeelewa vibaya lkn cover la kitabu linabeba ujumbe maridhawa wa maudhui yaliyomo ktk kitabu,nadhani silaha ingetolewa weka mtu anakimbia na mzigo huku akitafutwa na watu wenye silaha. ni mtizamo tu. Hongera kwa kutunga kitabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.