Compare and Contrast: Kafulila and Hamadi Rashid

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
WanabodiTunapenda kujua the comparison and contrast between these twotwo guys kafulila and hamadi Rashidi,kama tunavyojua hawajamaa walipelekabarua ya kubadilisha kanuni za bunge kuhusu kambi rasmi ya upinzani pale chadema ilipokuwa chama kikuu cha upinzani na leo wote wana matatizokatika vyama vyao.napenda kujua mengine zaidi kutoka kwenu !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
heading isome contrast, mbingu na ardhi. Hamad is more senior mbali sana na kafulila ni junior sana.
Hamad ametoka CCM na kuanzisha mageuzi kwa huko, CUF wamekula virungu na mabomu sana kuliko kafulila mpaka kufikia muafaka.
weledi pia ni mbaaali sana, ijapokuwa kafulila kacheza mechi mbili na ana kadi mbili nyekundu.
 
achana nao wamefulia,wabinafsi wakubwa.wana tamaa ya madaraka kiasi cha kuwa tayari kuvivuruga vyama kwa maslahi yao.waanzishe chama chao kiwe NGO wataelewana.
 
Hamad ni mwanasiasa mkongwe na mtu anataka kuwa na madraka wakati wote ikiwezekana mpaka mwisho wa maisha yake.Kafulila ni mwanasiasa mchanga sana mwenye tamaa ya kutaka madaraka BILA kufuata taratibu wanzungu huwa wanaseme ' very ambitious with no vision '
 
Back
Top Bottom