Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, Nimefuatilia michango ya waliotangulia. Nami mtazamo wangu ni huu; Kauli ya Ehud Barak si tu ya kupuuzwa. Bali, Tanzania , kama taifa, iliweke wazi hilila upuuzi wa Barak kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wandungu, hapa uhamiaji kurasini kitengo cha work permit kuna mama mmoja (MAMA P...E) anatoa sana vibali hovyo kwa kupewa rushwa hasa kwa wenzetu jamii ya waasia kiasi kwamba sasa kila...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nimejaribu kufwatiria siasa za Zanzibar kwenye Mzarendo.net mtandao wa kijamii wa siasa za zanzibar nilicho gundua ni kwamba hawa watu hawajielewi, wamelewa na pombe ya SUKI hata uwezo wao wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wananchi wa msoma wameomba serikali iache kuwagaeuza kama chapati. Kwamba walianza kwenye shida ya Umeme, wakawageuzia kwenye shida ya mafuta, na sasa wapo wanachakachuliwa kwenye sukari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MiMI ni mtanzania tena wa asili. Ndugu zangu tuwe wakweli uwaga jinsi unavyo jiona wewe tofauti na wengine. Naona tabu sana ninavyoona vitu vinavyoenda nchini masikini na tajiri kunatofauti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu,nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana,ila kwa bahati mbaya hakufanikiwa kupata credit,sasa anahitaji kusoma ucc(university computing centre),ili aanze na cheti,diploma...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wapendwa mwaka 2011 umekwisha,tumefanya mengi mema na mabaya, tutafakari kwa makini wapi tumekosea tufanye marekekebisho na ambapo tumefanya vizuri tuombe baraka za mwenyezi mungu tufanye vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF. Makali ya maisha kwa wa kazi wa Kigamboni yanazidi kuwa magumu! Kuanzia kesho nauli za Kivuko zimepanda kutoka 100 hadi 200. Gari kutoka 700 mpaka 1000. Pikipiki kutoka 300 mpaka 500
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chumba cha upasuaji katika hospitali ya Mawenzi kilifungwa 27/12/2010 na wakaguzi wa wizara kwani kilikuwa kibovu na kwa taarifa nilizopata kwa mhudumu chumba hicho kilikuwa jiko wakati hospitali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dhamira ya serikali juu ya wakulima kupitia sera ya kilimo kwanza inatia shaka baada ya mwaka huu pembejeo kupanda bei mara dufu.mbolea ya ruzuku TUNDURU imepanda toka elfu ishirini na tisa mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa mwaka 2011 umekwisha,tumefanya mengi mema na mabaya, tutafakari kwa makini wapi tumekosea tufanye marekekebisho na ambapo tumefanya vizuri tuombe baraka za mwenyezi mungu tufanye vizuri...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati tunaingia mwaka 2011 raisi ambae serikali yake imedolola sana alitoa zawadi kwa wananchi wake kwa kutekeleza sera ya chama cha CDM kwa kukubali mchakato wa kupata katiba mpya. Je, mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kwa kukosa maandalizi maeneo walikotengewa Viongozi wa maeneo hayo waikana serikali Wananchi nao waionya inachochea mgogoro Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, akipokea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu hope wote mko na afya njema mkiwa na matumaini ya kufikia mwaka 2012 , kwa kipindi kidogo nilichopo humu jamiiforums kwenye kila post nigundua idadi kubwa ya watizamaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Wana JF PPF wamefukuza kazi mameneja watatu eti ndio waliokuwa wanaanika maovu ya wakurugenzi wa PPF hapa JF. 1. Invisible na Mh. Mod, ni ushahidi gani wanaweza peleka mahakamani kuwa sio...
13 Reactions
89 Replies
10K Views
Hivi hawa watu wa hali ya hewa walitabiri jua au Mvua.. .. siwaelewi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
kwasababu chama kimekosa kabisa uelekeo na jk amekosa mvuto ndani na nje ya chama natangaza kuchukua fomu za ugombea wa uwenyekiti wa CCM taifa. Katika uongozi wangu ndani ya chama nitabadili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
I have had a chat with some friends from different African countries. I got touched by some comments by a nigerian and a kenyan. A nigerian said 'tanzania is the easiest country to lead in africa...
0 Reactions
4 Replies
843 Views
Published On: Fri, Dec 30th, 2011 Tanzania | Published On: Fri, Dec 30th, 2011 The growing number of alumni who study in Korea was recently bolstered when about 40 members with different...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuanzia tarehe 1 mwezi januari mwakani nauli ya kuvuka kwenda na kutoka kigamboni itakua shiling mia mbili kwa mtu mmoja,na gari zitatozwa sh elfu mbili! Walalahoi tujipange kufunga mikanda,
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Back
Top Bottom