Je! Mtamwamini CAG ktk ripoti ijayo ya UDA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je! Mtamwamini CAG ktk ripoti ijayo ya UDA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Dec 30, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana JF,

  MKAGUZI na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema ripoti ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ipo katika hatua za mwisho na ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao, kila kitu kitawekwa wazi.

  Je tupo tayari kuikubari ripoti hiyo? ukizingatia tayari tulisha gongwa na nyoka ktk ile ripoti yake aliyomsafisha Jairo?

  Je si upo uwezekano kuwa kikatoke kile tusicho kitegemea?

  ngoja tuone,lakini kwangu mimi bado naingiwa na shaka sana
   
Loading...