Waziri nyalandu huu ni udanganyifu na udhalilishaji kwa watoto wa Singida acha kabsa na ushindwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri nyalandu huu ni udanganyifu na udhalilishaji kwa watoto wa Singida acha kabsa na ushindwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MADORO, Dec 30, 2011.

 1. M

  MADORO Senior Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  KUMBE WAZIRI NYALANDU ANAWACHEZEA WATOTO WA SINGIDA KIASI HIKI????????


  ukisoma makala ya leo katika gazeti la leo la dira ya mtanzania limeonyesha jinsi mbunge wa jimbo la singida kaskazini akiwatumia watoto vibaya kujipatia pesa huku akijinadi huku mkuu wa mkoa akimpigia debe ni mtu mzuri kumbe ni upuuzi mkubwa kwa wananchi maskini hivi watu wa singida mtastrabika lini. mtaendelea kuuzwa utu wenu hdi lini haya mliichagua ccm wenyewe huuu wembe ni stahili yenu. ila ni dharau kwa kweli " JAMANI TETEENI WATU WENU ACHENI KUWADHALILISHA"
   
 2. M

  MADORO Senior Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Natamani kuamuka asubuhi siku 1 nikute nchi haina rais. Tunaweza kuishi kama tuko peponi. Maana .............kazi kwenu
   
 3. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuwekee story hiyo hapa mkuu.
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,244
  Likes Received: 2,926
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani news imekosa mashiko,sasa weka upupu wote km hbr ilivyo ili tuuchangie kikamilifu.
   
Loading...