Mh.Prof Mwandosya: Tanzania inaongoza Africa kupeleka Wananchi wake India Kwa Matibabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Prof Mwandosya: Tanzania inaongoza Africa kupeleka Wananchi wake India Kwa Matibabu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngandema Bwila, Dec 29, 2011.

 1. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wana JF nimesituka na kusikitishwa na Kauli ya Prof Mwanandosya kudai Tanzania inaongoza barani Africa kwa kupeleka wanaanchi wake India Kwa matibabu. Prof hakiushia hapo, kataka Watanzania wanapaswa kuipongeza serikali kwa hilo badala ya kubeza.

  Kinancho nisikitisha ni kwa prof kushindwa kujua ni gharama kiasi gani inatumika kuwapeleleka watu India na kwa nini Prof asione umuhimu wa kuboresha maslahi na huduma ya afya nchini ili kupata suruhisho la kudumu na kupunguza gharama, kuwajengea uwezo na molari madakatari wetu waweze kutoa huduma bora.

  Prof anataka tupongeze serikali kwa quick fix solutions?

  ====================

  Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya redio one, wanadia kayasema hayo katika misa ya shukurani huko Rungwe.
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu tupatie source habari hii ni kubwa mno!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Anaiambia dunia kuwa nch ni tajir na inawajal watanganyika,
   
 4. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli kasema basi prof. Kapotoka au kwa yeye kupelekwa India kwa matibabu kaona kama fadhila au kapendelewa na wala si haki yake.
   
 5. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kama kasema ndo maana nasema hafai kupewa urais
   
 6. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kasema wapi hayo? Weka source ya habari hii ili tuwe na uhakika kabla ya kuanza kuichambua.
   
 7. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Taarifa ya habari ya REDIO one, ya leo saa saba Mchana.
   
 8. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa mujibu wa taarifa ya habari ya redio one, wanadia kayasema hayo katika misa yashukurani huko Rungwe.
   
 9. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  sijawahi kumkubali na anadhihirisha hilo.
   
 10. mujusi

  mujusi JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 237
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Msameheni binadamu mwenzenu ameumwa sana na mnajua mtu akiugua kwa muda kadhaa anpoteza uwezo wa kufikiri cha kusema lakini hakuwa mtu wa kuropoka ropoka hapo awali kabla hajaumwa.
   
 11. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Mkuu aliyesema hayo ni Prof Maji Marefu au Prof Mwandosya??

  Kama ni Mwandosya atakuwa bado hajapona.
   
 12. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo sio kuropoka wala kukurupuka, ameongea ukweli kama serikari itaboresha hizo huduma za afya humu nchini, kwanini twende India tukatibiwe, ni gharama kiasi gani zinapotea kwa kutibu viongozi wetu nje ya nchi?

  Na hasa ikizingatiwa viongozi wa JK karibu wote ni wagonjwa. na hili lilijidhihirisha pale babu wa Loliondo alivyokuwa anatoa kikombe, viongozi wote walikimbilia kwa babu kunywa dawa.
   
 13. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  ila wengi ni wa oparesheni za moyo
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mwandosya kajawa na mawazo ya kifisadi hata shule yake haina maana tena .
   
 15. stanluva

  stanluva Senior Member

  #15
  Dec 29, 2011
  Joined: Apr 7, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahahaaa! Eti nini?
   
 16. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haswa ni yeye Prof .Mark Mwandosya Waziri wa maji na Mbunge wa Rungwe mashariki.
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Huyu mleta uzi huu ni msokile wa huko huko anakotoka Mwandosya hivyo sintaona ajabu kama vita vyao vya kisiasa anavileta hapa kwa kutaka kumpakazia mbaya wake; vita piganeni huko huko kwenu msitake kutuingiza na sisi havituhusu!! Nyie wengine ndio mliokuwa mnamzushia kifo alipokuwa huko India na nyie tena ndio hao hao mnaospin taarifa hizi; mshindwe na mlegee!
   
 18. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Kama ulikuwepo vile, huyo jamaa aliyeleta hii news namnyaka sana tulikuwa naye ofc taasisi moja hapa Dar, ni wale wale. Sijui nitamje jina, anyway naogopa kuwa na IDs nyingi
   
 19. k

  kayumba JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo kwenye RED, tukumbuke kuwa hapa tunajadili hoja si kuangalia kabila au eneo la mtoa hoja. Mtizamo wa kuangalia ni nani kaleta hoja, katokea wap?, chama gani? n.k upelekea ufinyu wa kimtizamo.

  Naendelea kuamini kuwa, kama ni kweli Prof. kasema maneno hayo basi anatakiwa kujitafakari upya! Bado hajui wananchi wa Tz tunatakiwa kufanyiwa nini.
   
 20. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Na aliyesema Kutuletea mvua kutoka thailand je anafaa ? lol


  BTN
  Ni watazania wangapi wanakwenda kutubiwa India kwa mwaka?
  Kati ya hao wananchi ni wangapi na wangapi wanapelekwa chap chap kwa sababu ni "wanasiasa"


  Tunavyojua na tunavyosikia kuna waanchi hawapeelwki india kwa magonjwa yale yale ambayo wakubwa wakiugua wanapeleewa India. Vile vile Kuna wananchi wengne wanashindwa hata kufikishwa/kufika Muhimbili ,KCMC au hata bugando
   
Loading...