Msiba wa halima mchuka hauna nafasi tbc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba wa halima mchuka hauna nafasi tbc

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfarisayo, Dec 29, 2011.

 1. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  inasikitisha sana kwa nini TBC hawajaona umuhimu wa kutangaza taarifa msiba wa halima mchuka badala yake wameanza na habari nyingine tu
   
 2. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  yani wanatangaza taarifa ya msiba wake mwishoni kabisa
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mmesikiza asbh,mchana na saa kumi? binafsi nimesikiza mchana walitangaza na baada ya taarifa ya habari mchana saa 7 wanakipindi chao walichukua takribani dk 6 hivi za mwanzo wa kipindi kumzungumzia,labda kitu ambacho sijakisikia ni kuweka walau sauti yake ya baadhi ya vipindi vyake alivowahi kutangaza hata basi kile cha jana mchana alipotangaza kwa mara ya mwisho salamu za mchana kupitia TBC.
   
 4. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umekurupuka!
   
 5. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama ilipewa kipaumbele awal sasa hawawez kufanya hvyo,alibahatika Nyerere tu kwan kila taarifa yeye ali appear the first.
   
 6. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mengi yameshasemwa tayari
   
Loading...